Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Nina experience mbaya na watu wapole!

Ama kweli usione ukadhani!

Huwa wanajifanya kuwa wanaogopa kuumizwa lkn behnd the scene ni dracula!

Ushangao utakaoupata ukiyajua ya nyuma ya pazia yanaweza kuupa moyo wako ulemavu wa kudumu!

Be ware!

A word is eneogh for the wise!

Ni kweli kabisaa..wanaweza kurarua moyo ukapasuka💔💔💔💔vipande ka kuni
 
Wasalaam wakuu.

Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole,
Jinsia zote wa kike na wa kiume.

Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.

Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu,

Ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.
Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Ngoja nipite
 
Back
Top Bottom