Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Kuna yesu wengi.. waislam wa kwao wakristo nao wa kwao
wayahudi nao wanao wa kwao..

Ila katika hao yesu mmoja Tu ni wa kweli alioa na ana sijui vitukuu mpaka leo hii wapo.
TRUST ME!
 
Kuna yesu wengi.. waislam wa kwao wakristo nao wa kwao
wayahudi nao wanao wa kwao..

Ila katika hao yesu mmoja Tu ni wa kweli alioa na ana sijui vitukuu mpaka leo hii wapo.
TRUST ME!
Unachagua unachotaka kuamini, na unachoamini kinabeba uzito gani.. Lakini katika maisha ya ukristo tunafata muongozo wa biblia kujua ni ni ni kweli nini si kweli.. Kwenye biblia hakuna mahali inaonyesha Yesu alioa labda ipo ila mimi sijaisoma.. Sasa kwa ni ni nikubali kitu ambacho hakipo kwenye neno la Mungu
 
Wangeandika kila ktu iyo biblia ingekuaje?? Mana hata kitabu unachotumia kumchambua na kumjua yesu akionyesh wap alifua akaoga Nk kwaio jua waliandika vile vlvyokua vya msng tu il kukuza iman zenu
 
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kutenda dhambi?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wasio na uwezo wa kutenda dhambi?

Kama huyo Yesu alikuja duniani kumsaidia binadamu na dhambi, Kwa nini ukifa unahukumiwa dhambi zako?

Kama ukifa unahukumiwa dhambi zako, Huyo Yesu alikomboa nini?
 
Yesu alizungumza mara nyingi kuhusu ufalme wa Mungu, na ni wazi kwamba maisha yake yalilenga kuhubiri ujumbe huo badala ya kujenga familia ya kimwili.
 

Huo ni uwongo mkubwa. Kumbukumbu zote zinaonesha Bwana wetu Masiha Yesu Kristo, hakuwahi kuoa wala hakuwahi kutenda dhambi yoyote. Alifanana nasi wanadamu kwa umbile lakini hakuwahi kutenda dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…