Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Bila shaka mwamba alikuwa anamla mage.
Alikuwa na trend au naweza sema pattern ya kuokoa makahaba sitashangaa kama mwamba alikuwa ni muasisi wa kununua
 
Mbona kuoa na kuolewa imeandikwa kwenye biblia yaani kutaja yesu kama alioa au la ndiko kuingeijaza biblia?
Nakubali kweli Kuna watu wametajwa wake zao lkn walio wengi ni kweny agano la kale kama wakina Ayubu, ibrahimu, yakobo n.k . Ila kwenye agano jipya imekuwa tofauti kidogo maana hata wanafunzi 12 wa yesu hawaja tajwa kama walikuwa na wake zao, kwa hiyo inawezekana yesu na wanafunzi wake walikuwa na pisi zao lkn sisi hatujui maan hawakuandika na wangeandika yote bible ingekuwa na page bilion kadhaa.
 
Huo ni uwongo mkubwa. Kumbukumbu zote zinaonesha Bwana wetu Masiha Yesu Kristo, hakuwahi kuoa wala hakuwahi kutenda dhambi yoyote. Alifanana nasi wanadamu kwa umbile lakini hakuwahi kutenda dhambi.

Huo ni uwongo mkubwa. Kumbukumbu zote zinaonesha Bwana wetu Masiha Yesu Kristo, hakuwahi kuoa wala hakuwahi kutenda dhambi yoyote. Alifanana nasi wanadamu kwa umbile lakini hakuwahi kutenda dhambi.
😁Unampambania Jesus, wakati yeye mpaka Leo hajakanusha
 
Yeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu, hakuja duniani kuoa Bali kuokoa roho zilizopotea
Acha uongo bhana yani Mungu alizaliwa na mwanamke? Huyo Mungu alikuwa anakula na kwenda chooni; acheni kutupiga mchana kweupe ndugu zangu.

Acheni kumsingizia Yesu uongo yeye mwenyewe alikuwa anamuabudu Mungu
 
Kumtoa mwanao wa pekee badala ya kumuua yule adui mwovu Shetani, Ni upumbavu na unafiki.

Huyo Mungu kama aliupenda Ulimwengu, Angemuua shetani.

Huyo Mungu kama anaupenda ulimwengu, Amuue Shetani.

Kumuua mwanao wa pekee badala ya kumuua huyo muovu shetani muhusika mwenyewe. Ni unafiki, ujinga na upumbavu.
 
sisi waislamu hatuitaji huo upuuzi wako, wewe utakuwa na laana ya viumbe vyote sio kwa matusi hayo. Muache Mtume wetu usimtukane sisi tunampenda sana. Kama inakuuma chukua kamba jitundike
 
sisi waislamu hatuitaji huo upuuzi wako, wewe utakuwa na laana ya viumbe vyote sio kwa matusi hayo. Muache Mtume wetu usimtukane sisi tunampenda sana. Kama inakuuma chukua kamba jitundike
Onyesha tusi ...ukiona wakina FaizaFoxy wamenyamaza ujue wanajua kuna kitu... Nakuona unakuja kichwa kichwa kuuaibisha uislamu wako bora ungekaa kimya .....nakuuliza swali moja tu nijibu ...Je Muhammad alikuwa KAFIRI AU LA nipe jibu?
 
Usipende kuamini tu umepewa akili jaribu kudadisi mambo..
chimba!
 
Inafikirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…