Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Ndio maana mnadharauliwa vijana wa siku hizi, hii ni akili ya namna gani. Watanzania ndio wamempigia kura? Hao wanaCCM wachache ndio uwaite watanzania, jitathmini kijanaNi kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395
Mwangalie huyu, we wa wapiMorogoro hakuna binadamu bwashee kuna viumbe fulani tu
Watanzania si watu wa kuhatarisha maisha yako kwa ajili yao — hilo ni somo nililolielewa mapema sana.Watanzania wengi hawajali kuhusu nchi yao, wakishakuwa na uhakika wa kula chips, mishikaki na pepsi hapo mtu anajiona tayari amejipata na kinachobaki ni kubishana kuhusu Simba na Yanga.
Huku kuna mgombea aliwapa wajumbe 30k kila mmoja na bado akaambulia mabua!!!Mpokea rushwa ana tatizo kubwa kuliko hata mtoa rushwa. Mtu akikataa kupokea rushwa nani atamlazimisha ?
Ndio inatakiwa kuwa hivyoHuku kuna mgombea aliwapa wajumbe 30k kila mmoja na bado akaambulia mabua!!!
Ambae hakutoa kitu ndo kapita kwa kishindo..
Kikeke alipaswa kwenda sehem kama hizi,sio Klm..Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395
Ukistaajabu ya babu Tale utayaona ya Shilole kugombea ubungeNi kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395
sema ccm, sio Morogoro pekeeMorogoro hakuna binadamu bwashee kuna viumbe fulani tu
WANANCHI WA JIMBO HILO NI WAJINGA KABISA,HUYU JAMAA HUWA ANALIAIBISHA BUNGE ZIMA LA JMT,HOW BOGUS IS HE?Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395
Dahhh... Nime Cheka sana kwa hii comment..Morogoro hakuna binadamu bwashee kuna viumbe fulani tu
Wagogo wameingia vp hapa we mseng.eWaruguru na wagogo wapo sawa kila kitu…… Yani wote ukiwaleta msanii inatosha…..barabara,afya hawataki
Na sisi tuliofiwa na wake zetu na hatueleweki, hii imekaaje? Acheni imani zenu mbovu hiziAlimtoa kafara mke wake hivyo kafara yake bado inafanya Kazi, ikiishiwa nguvu ubunge atashindwa kama ilivyo kwa akina Ki, Ka etc na wengine wengi
Ohh pole sana. Ila wapo waliotoa kafara kama akina Tale, Kigwangala etc tena wapo wengi mno hawa wanasiasa wengine mpaka wana ngozi za mambo ya ajabu kama yule anayependa kuficha kwenye bendera ya taifa kwenye taiNa sisi tuliofiwa na wake zetu na hatueleweki, hii imekaaje? Acheni imani zenu mbovu hizi
Siasa 👇👇👇Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua
Ujinga ni laana
View attachment 3433395