Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Hapa drake amezungumzia jinsi ambavyo watu wamekuwa wakipromote video kwenye social media bila wao kujijua ila hajaspecify ni social media ipi.

Swali je ukifananisha mauzo yaliyopatika kwenye itune au sportfy yanafanana na yale aliyo yapata kwenye youtube?

Nadhani jibu utakuwa umelipata na kama hujalipata sema nikuletee taarifa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wa wengi followers/subscribers ndio kiwakilishi cha fanbase. Kondeboy ana 4.8m insta na1.47 you tube. Ndani ya wiki moja, 1m hawajaangalia ngoma zake!!! Tukubaliane tu fanbase ya Kondeboy mitandaoni bado ni ndogo!!!

Katika followers ambao sijawahi waelewa ni wa Instagram. Kwanza account nyingi ni dominant, sio active, zilizo active unakuta ni multi-user yaani mtu mmoja ana account zaidi ya 5 na zote kamfollow Konde.

Ndio maana unakuta Msanii ana followers Mil 6+ lakini hakuna ata video/pic ambayo amewahi post ikafikisha Likes Laki 5.

Pia kwenye YouTube uko ndio kituko. Watu video wanatumiana WhatsApp, mchezo umeisha, hawaangalii sana Online.
 
nikikwambia anapiga pesa kutokana na social network, we unafikiri ni malipo anayolipwa kutoka huko au pia kupromote single au album?

tuanzie hapa kwanza
 
Idadi ya views kwenye wimbo haina faida sana. YouTube haiwapi hela nyingi sana wasanii wa Tanzania ukifananisha na wasanii wengine wa kimataifa. Kuna sababu nyingi sana:
  1. Idadi ya views/viewers. Nyimbo nyingi za TZ zina views wengi ila viewers (device) ni walewale.
  2. Region. Nyimbo nyingi za TZ viewers wake wengi ni local. Yaani from TZ tu. Kwahiyo Youtube yale matangazo yao (ambao yanawapa hela YouTube wenyewe) unakuta hayawafikii walengwa kwahiyo kiwango atakacholipwa Konde Boy kwa Viewers Mil 1 ni tofauti na Beyonce kwa viewers Hao hao Mil 1.
  3. Wabongo wengi lile tangazo la mwanzo likiplay kabla ya wimbo uwa tuna SKIP. Hapo hatumpi support msanii bila kujijua.
  4. Wengi pia hatu subscribe kwenye channel zao za YouTube..
 
Basi na yeye atatoboa kama burna
Tuwape moyo wasanii wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumtakie heri. Ila Kondeboy sidhani kama anashauriwa vizuri kwenye kutoa ngoma.
Huwezi kutoa mingoma kila siku hadi watu wamasahau hata majina yake achilia mbali kuimba lyrics!!!
 
Umeongea sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina faida kwenye branding
 
nafikiri niwataje kabisa mkuu hans mtanashati, innocent dependent ,(juma lukole) bila kumsahau Joseph
 
Kwakila kitu angalia despacito dogo ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…