Hivi kweli hili taifa la Marekani (USA) litakuja kupitia kiuchumi?

Mkuu umesahau USSR.
 
Angekuwa amemwachia kama unavyo taka kutudanganya hapa,iweje kila Utawala ukiingia wanaikomalia China na vikwazo vya kiuchumi.
Huyu jamaa anpotosha anashau kuhusu utawala wa Trump ulivoikalia kooni china vikwazo vya kutosha Mwisho wa siku vikawaumiza wafanyabiashara wa marekani na kuanza kulia lia wao[emoji1] Biden nae kasema china akiisadia urusi atakutana na rungu la vikwazo .alafu mtu anakuambia china Hana madhara kwa U.S.A
 

Machina anafuata Kwa mbali in terms of per Capita ila Kwenye GDP anamkaribia. Ukweli mchungu USA ataendelea kutuburuza miaka mingi ijayo labda utokee muujiza wa Mungu.

View attachment 2223364
Kwa vile umetumia takwimu za GDP kufanya comparison, na ukatumia kigezo hicho kudhania USA hawezi kupita,basi kupitia hicho hicho kigezo cha GDP nakuhakikishie after 20-30 years China atampiku USA kiuchumi ni swala la muda.

Miaka 30 iliyopita (1990),uchumi wa USA ulikuwa USD 5.9 trillion-huku Leo hii mwaka (2022) upo 22 Trillion sawa na ukuaji wa 269%.

Kwa miaka 30 (1990) China alikiwa ba GDP ya USD 360 Billion, Leo hii (2022) China na GDP ya 17.5 trillion sawa na ongezeko la 4762%.

Nakuachia homework, tumia ajili yako hapo ya kawaida kabisa,after 20-30 years to come nani atakuwa na uchumi mkubwa?

Usidhani viongozi wa USA ni wajinga kila siku kumpiga vikumbo China na vikwazo vya biashara,wanajua kinachoenda kutoka baada ya miaka kadhaa.
 
Marekani anaimiliki China yenyewe. Kapeleka makampuni yake kule halafu kawaleta huku wanunue bond zake.

Ukiona China ujue huyo ni mmarekani. Kwahiyo jumla ya uchumi wa marekani ni kujumlisha na huo wa China.

Na hii ndio tafsiri halisi
 
[emoji106]
 

Sawa lakini nina swali fikirishi kidogo, hizi tawala zilizoanguka iliodumu muda mrefu ni ipi? Na je hawa jamaa wao hawalijui hili kweli?
 
hayo mengine hayakutawala dunia bali yalitawala sehemu kadhaa za ulimwengu , kwasasa hata Mchina akisikia jina USA anaweweseka , hata huyo Mrusi , yaan USA anaogopeka dunian kote , hao wakina Ottoman hawatawala hata nusu ya dunia
 
hayo mengine hayakutawala dunia bali yalitawala sehemu kadhaa za ulimwengu , kwasasa hata Mchina akisikia jina USA anaweweseka , hata huyo Mrusi , yaan USA anaogopeka dunian kote , hao wakina Ottoman hawatawala hata nusu ya dunia
Unafahamu namna utawala wa roma ulivyokuwa unaogopeka unajua ni wakinani walitoa amri ya masihi[kuuwawa] wakati alikuwa si mroma, unafahamu utawala wa kigiriki , unafahamu Ujerumani lishikiria maeneo kiasia gani , alafu ni ajabu kusema china au urusi akiisika marekani anatetemeka .washindwe kutetemeka Vietnam, Afghanistan,Somalia,Iran,Cuba,Korea kaskazini waje watetemeke magiant China na Russia[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…