Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Hii bidhaa ya amani na utulivu imeuzwa muda mwingi hapa Tz na wanasiasa je nini hasa wanamaanisha wanaposema hivi kisaikolojia naona kunakitu nyuma ya pazia. Hebu waliosoma saikolojia watujuze au ni uoga wangu???
 
ni gwajima peke yake ndio ametumia madhabahu kukemea utekaji? mbona katoliki wanakemea hadi kesho ila mmefyata mikia yenu hamna nguvu yeyote kwao? kukemea uuaji madhabahuni ni siasa? kama ni hivyo, kile kifo mnachosababisha kwa wenzenu na kikufuate wewe kwa Jina la Yesu! na ufahamu kabisa kitakapokuja kuwa kinakuja kwa sababu ya udhalimu wako.
 
Sasa kama angekuwa Tanzania angejificha kwa dada yake? Kuna watu dunia hii hawatumii akili. Taxpayers money zinachezewa. Yeyote ana haki ya kujiuzulu nafasi aliyopewa
 
 
Wewe ndiye unayeingiza udini hapa. Wakati Lissu ananusurika kifo baada ya kupigwa risasi 16 ulikuwa umeshazaliwa? Kwa akili yako, Lissu na CHADEMA yake walikuwa wanapinga utawala wa muislamu kipindi hicho?
 
Unachukua makada na kuwafanya TISS unadhani akili itatoka wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…