Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Walizima mitandao?Mkuu Mshana Jr . Hivi unadhani ''hawa watu'' wana akili? Tukiona wanavyoteka na kuua vijana wadogo kabisa wasio na hatia tunaweza kudhani wana akili hata za kuvukia barabara? Ukiona wanapiga picha eti wakifuatilia ''kesi'' ya Lissu unadhani kuna ubongo hapo? Yaani kwangu mimi nadhani kuna kikundi cha watu wajinga kabisa, na possibly kinasimamiwa na wajinga wenzao (may be mzee wa mapete na Abdul?) kufanya operation. Hivi hata kuzima mitandao leo ilikuwa ni lazima?
Vipi kuhusu haki??Nilichogundua tuiombee nchi yetu Amani idumu milele .
Nimemaanisha kuwa tupo naked in term of security ,Vipi kuhusu haki??
Usali wa kuajiriwa kuwa polisi
Mbio
Urefu.
Kifua kipana kama ( mchengerwa)
Lakini usiwalaumu je ikiwa wanatumwa !?Wanaendeshwa kwa mihemko, maagizo. Hawawezi kufanya kama kazi yao inavyowataka. Iwe Idara au policcm. Ukiangalia ni sheria ipi Polepole amevunja, mpaka wanamtafuta?
Hawataki watu waseme ukweli, wanachotaka kusikia sasa hivi, ni kusifia tu!!! Hawezi kutenda mabaya, watu wasiseme, watasema tu. If you can't stand the heat, get out of the kitchen.
Ungeangalia press ungeona Kuna wakati alipigiwa simu na polisi akapokea .. polisi hawatumii namba za nje for normal calls maana isingefunction .. use ur brainsWengine wanasema yupo miami USA banda ya kupewa ile namba.
Nilichogundua tuiombee nchi yetu Amani idumu milele .
Uibe na cheti kabisa . Ndo maana vyeti hewa hawajaguswa.Na darasani upate Div one
Short and clear all inclusive βπΏππΏππΏππΏππΏKwenye hoja yako ulipaswa kutaja tu vyombo vya usalama. Ukisema ulinzi na usalama unakuwa umelihusisha na Jeshi. Ulinzi ndio Jeshi na usalama ni vyombo vyote vya wizara na ile ya ofisi ya rais.
[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kingereza wanachoongea kwenye vituo vya polisi huwa tunanyamaza tu kwa vile Wana bunduki
Kwa mfano
"I'm not your friend my friend"
hapa kuna polisi au foolish,gwajima tu walimshindwa sembua mzee wa v8Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhunj hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..
Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejikana wote
Only professionals can act professionally... Wamebug big time?