Hivi kweli kuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Afrika Kusini kama taifa?

Kwani uchaguzi wa hapa mshindi anapatikana kwa nguvu ya ushawishi, au matakwa ya chama kilichopo madarakani? Ingekuwa ni ushawishi Wala ccm isingekuwa madarakani, ama kuwa na wingi usioakisi ushawishi wao halisi.
No,
hupaswi kukata tamaa hata kidogo wala kulalamika katika kutafuta mabadiliko πŸ’
 
hicho cha kufanya mapinduzi kiko wap?πŸ’

majeshi yetu yako cultured, yako disciplined mno hakuna wa kuweza kuthubutu hata kuskiza tu wenyewe mentality kama yako πŸ’
 
No,
hupaswi kukata tamaa hata kidogo wala kulalamika katika kutafuta mabadiliko πŸ’
Usichanganye kukata tamaa na kupuuza chaguzi za kishenzi. Ndio maana nasema machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko.
 
Sijui kama watawezana . Maana EFF hawatabiriki. Pia EFF wanataka kurudi kwenye mstari hivyo kuwa sehemu ya serikali kutawa boost Sana.
 
hicho cha kufanya mapinduzi kiko wap?πŸ’

majeshi yetu yako cultured, yako disciplined mno hakuna wa kuweza kuthubutu hata kuskiza tu wenyewe mentality kama yako πŸ’
Kama 1982 walitaka kupindua tena chini ya Nyerere, itakuwa kwa Hawa wagawa bandari?
 
Kweli kabisa mkuu
 
Kichwa cha habari na mchango wako ni vitu viwili tofauti kabisa! Kwani ulilenga nini!?!
 
Asante mkuu. Nilikuwa namjibu jamaa hapo juu aliyedai DA ni chama Cha kibaguzi. Nikamwambia kwanini hashangai DA kuwa chama Cha kibaguzi halafu kikawa Cha pili?. Yani watu wachague chama Cha kibaguzi kiwe Cha pili?. Ila DA ndio suluhisho la South Africa.
 
Kweli. Kwa Sasa coalition politics ni muhimu hasa kwa vyama vya upinzani.
that's it,
binafsi nahitaj opposition inayochallenge the ruling party to expand its plans and efforts wanainchi wapate development, otherwise ipigwe chini but through issues πŸ’
 
Acha kabisa mkuu. Ukabila ndio unaitesa Kenya mpaka Sasa, inabidi ukitaka kuwa Rais lazima uende kwa Wakikuyu kwanza au wakalenjin. Hivyo urais umebaki kwa Wakikuyu na Wakalenjin basi.
aise ni hatari,
kama saivi vita ya deputy president RigGy na Boss wake Rais Ruto hadi huruma πŸ’
 
Kama 1982 walitaka kupindua tena chini ya Nyerere, itakuwa kwa Hawa wagawa bandari?
hakuna ambacho kingefanikiwa hata chembe. By the way mapinduzi attempts zilifanyika zaidi ya hiyo but ilikua ngumu na itakua ngumu mno as we go on πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…