Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Sorry bro. Ushawahi andika makala? Waweza share nasi?Thank you so much! What were your search terms?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry bro. Ushawahi andika makala? Waweza share nasi?Thank you so much! What were your search terms?
1. Bitcoin ni hela kama hela nyengine inatumika kununulia bidhaa, unaweza nunulia Gari, kabati, nyanya, sambusa etc haimaanishi eti Bitcoin ni njia ya ku kuingizia utajiri, ifikirie kama vile unavyofikiria Dollar, pound etc.Habari wakuu
Maisha kwa sasa yanaenda kasi sana, Sisi vijana katika harakati za kutafuta pesa tunakutana na changamoto nyingi sana ,sasa kuna hii njia inaitwa "kupiga hela online ,ukiwa na simu yako na bando " Mimi nimeshafanya uchunguzi sana online businesses wanazosema ni zipi hizo au ni hizi ...
Kwa hiyo mkuu unataka ukianza leo kesho uwe na gari au?Hizo zote hazina hela ,na huwezi kutengeneza pesa kiasi cha kununua gari au kujenga nyumba kama wanavotuaminisha mtaani kuwa kupita online business basi huna haja ya kutafuta kazi ....!
Ndiyo. Baadhi ya makala ziko Mlenge Fanuel Mgendi kama sampuli.Sorry bro. Ushawahi andika makala? Waweza share nasi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo zote hazina hela ,na huwezi kutengeneza pesa kiasi cha kununua gari au kujenga nyumba kama wanavotuaminisha mtaani kuwa kupita online business basi huna haja ya kutafuta kazi ....!
Huyu jamaa itakuwa kaingia kichwa kichwa online kapigwa sio bure [emoji3][emoji3]mbona umejeneralize sana kamanda, mimi ni mmoja wa hao waliojenga kwa 'freelancing', sisemi kwamba ni njia 'rahisi' ya 'kupiga pesa' ila ndio nimejenga na nilianza rasmi 2017
ps: sio jumba kama la Bakhresa
Hivi hii Smart hela ipoje mkuuYaaah kama ni hizi ,basi hela ipo ....
But mimi nafuatilia rafiki zangu wote kutwa status wanajimwambafi wanafanya online business ....
Fuatilia sasa uone ,utasikia forex,smart hela ,pamafund ....
Daa unabaki unashangaa ....
Ofisini pana raha yake bana hata kama unalipwa laki 7 tu take home! Hio pesa kuitafutia mtaani ukiwa huna hata sh.10 mfukoni jasho la maana litakutoka nusu ya kufa😂😂ndio maana hata wanasiasa na viongozi wanapambana watoto wao wapachikwe katika hio mifumo ya ofisini!Kama unamtaji wa kutosha ama una mategemeo ya kupata ajira hivi karibuni chagua kazi. Ila kama huna kitu usichague cha kufanya fanya kitu chochote cha halali ambacho kinatoa pesa.
Mtu huna cha kupoteza, huna pesa why unaogopa?? Mimi hiyo hiyo forex na betting ndio nilikuwa nafanya wakati sina mtaji maana ndio sehemu za kupata au kupoteza pesa fasta fasta. Hizo sijui Apwork mpaka utafute kazi mtu akupe sio leo wala kesho.
Siwezi sema ni bahati ilianguka upande wangu nikapata mtaji hapana maana nilikuwa natumia akili na pesa niliwekeza ndio nikapata kitu. OOh mwingine atasema forex ni gambling yeah nikama gambling lakini sina kitu nifanye nini kama tuu kazi ya 150k unazunguka dar nzima hupati na unadegree ufanye nini.
It is the last part for me[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Freelancing ( kutoa huduma ), Youtube ( Vlogging ), blogging, Affiliate marketing na flipping ndio kazi ambazo unaweza kufanya mtandaoni.
Ila unahitaji muda, juhudi na uvumilivu sana kupata mafanikio.
Hizo siyo gambling. Ni kazi kama kazi nyingine tena zenye ushindani mkubwa na hivyo unahitaji kujituma na kuwekeza hasa.
Mtu akikupa kazi ya kuandika ebook ya page 150 let's kwa 1,000 USD hiyo siyo kazi rahisi hata kidogo, utakaa kwenye computer mpaka tako liwe kama la dereva wa roli[emoji1787]
Utanitag mkuu akikujibuHivi hii Smart hela ipoje mkuu
Mzee baba ulijikita kati industry gani ya kuandika makala ama?mbona umejeneralize sana kamanda, mimi ni mmoja wa hao waliojenga kwa 'freelancing', sisemi kwamba ni njia 'rahisi' ya 'kupiga pesa' ila ndio nimejenga na nilianza rasmi 2017
ps: sio jumba kama la Bakhresa
Hofu yangu kuhusu Cryptos ni namna ilivyo volatile utafikiri soko la hisa. Ziko easily manipulated kwa kauli tu za watu.1. Bitcoin ni hela kama hela nyengine inatumika kununulia bidhaa, unaweza nunulia Gari, kabati, nyanya, sambusa etc haimaanishi eti Bitcoin ni njia ya ku kuingizia utajiri, ifikirie kama vile unavyofikiria Dollar, pound etc.
Madhara ya Bitcoin kwa nchi ni kwamba watu watatakatisha fedha kupita maelezo maana humu watu wanafanya biashara Hali ya kuwa hawajulikani, pia bila mfumo thabiti kodi pia inaweza kukwepwa
Uzuri wake ni rahisi kulipwa, hakuna urasimu Mara sijui PayPal imefungiwa, sijui bank hiki kimetokea, na milolongo mengine hakuna, unaweza kaa kijijini kwenu ukapokea pesa toka Japan huko kwa dakika kadhaa tu.
2. Kuhusu kupata hela online fikiria uingizaji wake wa hela kama biashara nyengine, ukiwa na Tamaa tu mtu anakwambia wekeza $200 upate $400 jua wanakutapeli fasta tu.
Unaweza fungua website watu duniani wakatembelea, kama una kipaji unaweza edit video, logo, picha, sauti etc ukauza Dunia nzima., unaweza kufundisha, unaweza fanya biashara na mambo mengi.
3. Wanaweza wakaruhusu Leo tuka adapt ama wakaruhusu miaka ijayo ikawa ni too late, zote hizi ni option Dunia hairudi nyuma, haya mambo tunatakiwa tuwe nayo pamoja, kujitenga hakutasaidia Kitu.
Tanzania walipa Kodi ni kama milioni 2 tu nchi yenye watu karibia milioni 60, kupitia mifumo thabiti kama hii wakiamua wataongeza wigo wa kukusanya mapato pia,
Ni website flan unajiunga ,unapata hela kupitia njia hiziHivi hii Smart hela ipoje mkuu
Check haya ni malipo ya huyu YouTuber wale wa kusafiri. Yaani unapata raha ya utalii na pesa 👇👇Ofisini pana raha yake bana hata kama unalipwa laki 7 tu take home! Hio pesa kuitafutia mtaani ukiwa huna hata sh.10 mfukoni jasho la maana litakutoka nusu ya kufa😂😂ndio maana hata wanasiasa na viongozi wanapambana watoto wao wapachikwe katika hio mifumo ya ofisini!
Anyway katika kufanya searching google ni kutumia maneno ambayo yatakuletea kitu unachotaka kwa haraka. Mfano mi niliandika 500 dollae paying websites about animals.Ndiyo. Baadhi ya makala ziko Mlenge Fanuel Mgendi kama sampuli.
'laki 7 tu'Ofisini pana raha yake bana hata kama unalipwa laki 7 tu take home! Hio pesa kuitafutia mtaani ukiwa huna hata sh.10 mfukoni jasho la maana litakutoka nusu ya kufa😂😂ndio maana hata wanasiasa na viongozi wanapambana watoto wao wapachikwe katika hio mifumo ya ofisini!
Kuajiriwa tena kwenye hii mifumo rasmi kuna raha yake, hata ukilipwa laki 6 unakuta unaamani ya moyo. Lakini ujasiliamali unahitaji roho ngumu. Unaweza kuta biashara inatengeneza faida kwa miaka mitatu mfululizo lakini boss anakonda wafanyakazi wananenepa, Biashara inarisk kibao nazote zinamuelekea boss.Ofisini pana raha yake bana hata kama unalipwa laki 7 tu take home! Hio pesa kuitafutia mtaani ukiwa huna hata sh.10 mfukoni jasho la maana litakutoka nusu ya kufa[emoji23][emoji23]ndio maana hata wanasiasa na viongozi wanapambana watoto wao wapachikwe katika hio mifumo ya ofisini!
Mkuu unajua kuna watu watakuja kukupinga ila ,naamini wengi wanajua kabisa ,mtaani kuipata laki saba kwa mwezi sio mchezo ...Ofisini pana raha yake bana hata kama unalipwa laki 7 tu take home! Hio pesa kuitafutia mtaani ukiwa huna hata sh.10 mfukoni jasho la maana litakutoka nusu ya kufa[emoji23][emoji23]ndio maana hata wanasiasa na viongozi wanapambana watoto wao wapachikwe katika hio mifumo ya ofisini!