Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Laki 7 ni hela ndogo hadi pale utapotupwa uraiani na kuambiwa pambana uimeki hio dough kwa mwezi😂😂😂'laki 7 tu'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki 7 ni hela ndogo hadi pale utapotupwa uraiani na kuambiwa pambana uimeki hio dough kwa mwezi😂😂😂'laki 7 tu'
Kaka unaweza ukazoa mpaka mavi nakwambia 😂😂😂Mkuu unajua kuna watu watakuja kukupinga ila ,naamini wengi wanajua kabisa ,mtaani kuipata laki saba kwa mwezi sio mchezo ...
Kama huna business iliyosimama
Kwa jinsi unavyozijua unaonyesha ulijiunga na hizi ishu ukidhania ndiyo kupata hela online.Platform nyingine hii hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1821915
Hahahah kwenye ujasiliamali wewe mmiliki ndio mbeba dhamana biashara ikikata inakukata wewe wafanyakazi wanaendelea kumenya tu 😂😂😂Kuajiriwa tena kwenye hii mifumo rasmi kuna raha yake, hata ukilipwa laki 6 unakuta unaamani ya moyo. Lakini ujasiliamali unahitaji roho ngumu. Unaweza kuta biashara inatengeneza faida kwa miaka mitatu mfululizo lakini boss anakonda wafanyakazi wananenepa, Biashara inarisk kibao nazote zinamuelekea boss.
Kuna mwana naona anapost post tuji statuzPlatform nyingine hii hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1821915
Kuna mwana naona anapost post toka jana nikagusa ikaja form ya kujaza nika cancel maana hata sikuwa naelewa inahusiana na niniNi website flan unajiunga ,unapata hela kupitia njia hizi
Kuview video zao
Kuunganisha wenzako
Kujibu baadhi ya short quiz wanazokupa
Mengine mimi sijafuatilia koz niliona ni kupoteza muda ..
Kujoin ni 16 k View attachment 1821913
Engineering(electrical), mcu programming, IoT, MLMzee baba ulijikita kati industry gani ya kuandika makala ama?
Life is so sucking,,,but let us dont give upKama unamtaji wa kutosha ama una mategemeo ya kupata ajira hivi karibuni chagua kazi. Ila kama huna kitu usichague cha kufanya fanya kitu chochote cha halali ambacho kinatoa pesa.
Mtu huna cha kupoteza, huna pesa why unaogopa?? Mimi hiyo hiyo forex na betting ndio nilikuwa nafanya wakati sina mtaji maana ndio sehemu za kupata au kupoteza pesa fasta fasta. Hizo sijui Apwork mpaka utafute kazi mtu akupe sio leo wala kesho.
Siwezi sema ni bahati ilianguka upande wangu nikapata mtaji hapana maana nilikuwa natumia akili na pesa niliwekeza ndio nikapata kitu. OOh mwingine atasema forex ni gambling yeah nikama gambling lakini sina kitu nifanye nini kama tuu kazi ya 150k unazunguka dar nzima hupati na unadegree ufanye nini.
Kwenye hizi kazi za kawaida napo nipagumu sana labda uwe na ujuzi mfano ufundi simu au tajiri akupe chombo uendeshe ,hata ukondakta uliouandika hapo kupata sio rahisi mpaka uwe na connection tena kali na dereva bila hivyo utaambulia manyoya
Mimi nina store ya nafaka kila kwenye kilo moja ya mchele faida ina range 200-300 ili uone faida lazima uuze kilo nyingi nyingi sana nahapo kodi ya fremu,tra tfda ,halmashauri,umeme ,zima moto ,mlinzi vyote vitoke humo . Bado kodi ya mimi niliko panga + usafiri ukipiga mahesabu unajikuta unafanyia tumbo.
Hao wanaopenda kukaa ofisini na kusubiri mishahara sio wajinga asee. Nikaona bora niongeze wigo wa biashara nilime mazao mfano maharage mimi mwenyewe niwe nakuja kuyauza, juzi tu hapa ndio nimetoka kuvuna msimu wa pili mfululizo naambulia hasara.
View attachment 1821683
Sio kazi rahisi, inahitaji uvumilivu na skillsHela mtandaon zpo,,,ila kuzipata ndo kisanga. Kuna jamaa yangu ana Subaru namba DSM kanunua kwa hela za blogging. Hela za mtandaoni sio za kirahisi rahisi wazee!!!!
Mtandaoni kuna pesa, BUT
Mtandaoni hakuna pesa rahisi.
Unayoyasema ni kweli mkuu, kila jambk na changamoto zake lukuki.Kama unamtaji wa kutosha ama una mategemeo ya kupata ajira hivi karibuni chagua kazi. Ila kama huna kitu usichague cha kufanya fanya kitu chochote cha halali ambacho kinatoa pesa.
Mtu huna cha kupoteza, huna pesa why unaogopa?? Mimi hiyo hiyo forex na betting ndio nilikuwa nafanya wakati sina mtaji maana ndio sehemu za kupata au kupoteza pesa fasta fasta. Hizo sijui Apwork mpaka utafute kazi mtu akupe sio leo wala kesho.
Siwezi sema ni bahati ilianguka upande wangu nikapata mtaji hapana maana nilikuwa natumia akili na pesa niliwekeza ndio nikapata kitu. OOh mwingine atasema forex ni gambling yeah nikama gambling lakini sina kitu nifanye nini kama tuu kazi ya 150k unazunguka dar nzima hupati na unadegree ufanye nini.
Kwenye hizi kazi za kawaida napo nipagumu sana labda uwe na ujuzi mfano ufundi simu au tajiri akupe chombo uendeshe ,hata ukondakta uliouandika hapo kupata sio rahisi mpaka uwe na connection tena kali na dereva bila hivyo utaambulia manyoya
Mimi nina store ya nafaka kila kwenye kilo moja ya mchele faida ina range 200-300 ili uone faida lazima uuze kilo nyingi nyingi sana nahapo kodi ya fremu,tra tfda ,halmashauri,umeme ,zima moto ,mlinzi vyote vitoke humo . Bado kodi ya mimi niliko panga + usafiri ukipiga mahesabu unajikuta unafanyia tumbo.
Hao wanaopenda kukaa ofisini na kusubiri mishahara sio wajinga asee. Nikaona bora niongeze wigo wa biashara nilime mazao mfano maharage mimi mwenyewe niwe nakuja kuyauza, juzi tu hapa ndio nimetoka kuvuna msimu wa pili mfululizo naambulia hasara.
View attachment 1821683
Wazee pale BOT wanaiona paypal kama scam flanj hivi sijui kwanini Tz tunakuwa nyuma kwenye fursa internationally?Online pesa ipo ila Tz hatuna misingi ya kuwezesha hilo.
Mfano uandishi wa makala kwa webistes mbalimbali malipo yanaanzia dola 50 mpaka 1000 kutegemea na hadhi ya website na viwango walivyoweka vya makala utakayowawasilishia.
Webistes nyingine zinakulipa wakiikubali kazi yako. Zinakulipa kama kazi yako itakua miongoni mwa top articles za wiki na wanakulipa tena kama hiyo article itakua featured kwenye story.
Lakini ili wakubali makala yako sharti la kwanza ni lazima akaunti yako ya malipo iwe ya paypal kinyume na hapo hawapokei kazi.
Halafu Tz ndiyo bado hatuna mpango wa kuiwezesha paypal.
Mkuu muache unahangaika Nini. Ameamua kudandia gari mbele ama jump the gun.Na mtazamo tofauti kidogo na wewe,binafsi na deal na fx pamoja na index.
Kama vile biashara nyingine zilivyo LOSS ni kitu cha kawaida ila kikubwa unahitaji kuinvest kwenye knowledge sana ili kuminimize loss na kuongeza profit.
Sio kitu ya kujifunza usiku mmoja kesho uamke kama ref wayne it takes time and a lot of effort.
Tunaweza kutuma, hatuwezi kupokea. Sayansi ya hii sijui ikoje. Nilitegemea ingekuwa kinyume chake ili kulinda sarafu yetu. Au even better, kuachia huru matumizi yake.Halafu Tz ndiyo bado hatuna mpango wa kuiwezesha paypal.
Mtaani kumake hela kihalali si mchezo,mchezo!!Ofisini pana raha yake bana hata kama unalipwa laki 7 tu take home! Hio pesa kuitafutia mtaani ukiwa huna hata sh.10 mfukoni jasho la maana litakutoka nusu ya kufa😂😂ndio maana hata wanasiasa na viongozi wanapambana watoto wao wapachikwe katika hio mifumo ya ofisini!