Hivi kweli kuna watu wanapiga hela online? Mimi naona kama uzushi tu!

Hahahah kwenye ujasiliamali wewe mmiliki ndio mbeba dhamana biashara ikikata inakukata wewe wafanyakazi wanaendelea kumenya tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ni website flan unajiunga ,unapata hela kupitia njia hizi

Kuview video zao

Kuunganisha wenzako

Kujibu baadhi ya short quiz wanazokupa

Mengine mimi sijafuatilia koz niliona ni kupoteza muda ..

Kujoin ni 16 k View attachment 1821913
Kuna mwana naona anapost post toka jana nikagusa ikaja form ya kujaza nika cancel maana hata sikuwa naelewa inahusiana na nini
 
Ila yote kwa yote hakuna online business ambayo inamwaga pesa kama forex haipo na haito kuja kuwepo. Na kupoteza pesa napo ni hivyo hivyo.
Winning chance ya kuwin kwenye forex ni kubwa kuliko kwenye betting maana yenyewe kuna buy and sell mean p=0.5
Tukija kwenye betting anaeweka gemu mmoja tu kwenye mkeka hapo kuna 3 outcome win loss,draw.
Soo hata mkeka wako uwe na gemu mmoja bado anae trade forex anachance kubwa ya kushinda kuliko aliebet
 
Mkuu network marketing nyingi ni utapeli, hasa hizi scam website za Wakenya sijui smarthela, Eazycash, Premium n.k mi hizo mtu akinitumia link nafuta.

Shughuli za online kama Freelancer zinalipa, mfano site kama Fiverr, Upwork, PeoplePerHour, Guru, Freelancer .com n.k mi mwenyewe nilisoma thread humu kuhusu Freelancer, nikajifunze skills tofauti sahivi natengeneza mkwanja kidogo nikiwa Gheto bado Nipo chuo, alafu uzuri wa Freelancer Kuna baadhi ya kazi ukifanya vizuri buyer anakuwa ananunua Service kwako tu, sometime anakupa mkataba wa kudumu, mfano Kuna kazi fulani ya Facebook client nilifanya kazi yake kwa consideration ya $30 lakini kaniongezea dollar 10 bure pia amenunua service yangu tena, watu wa Fiverr nadhan mnanielewa hapa.

Kikubwa jifunze skills tofauti tofauti, mfano Mimi nasoma sheria hapa chuo hila Fiverr, nafanya Tech related gig & Digital Marketing japo sijasomea hivyo vitu.
 
Hela online zipo kibao ila unahitaji mda kujifunza ujuzi minimum 3 years

Mm nauza kuku
Nauza mafuta ya alizeti

Mwisho kabisa nauza na kununua hisa za makampuni ya USA huku ndo nimeweka hela yangu yote 80%.

Msingi mubwa wa mafanikio ni be optimistic.
"I never met successful pessimistic person"-Bill O'Neil.

" I would rather be wrong and optimistic ,than be right pessimistic "-Elon Musk.
Nileeteeeen optimistic
Nileeteeeen optimistic
Nileeteeeen optimistic
 
Life is so sucking,,,but let us dont give up
 
Hela mtandaon zpo,,,ila kuzipata ndo kisanga. Kuna jamaa yangu ana Subaru namba DSM kanunua kwa hela za blogging. Hela za mtandaoni sio za kirahisi rahisi wazee!!!!

Mtandaoni kuna pesa, BUT
Mtandaoni hakuna pesa rahisi.
 
Freelancing kama
Fiverr, upwork,
YouTube channel>>/monetization/adsense .
Affiliate marketing.
Hizo hapo juu ni realistic

Forex uwe tapeli -ujfanye wewe ni instructor unawafundisha watu
Unaanda vijisemina, online courses etc.
Betting- 90% starehe- sio biashara - sio ajira.
 
Unayoyasema ni kweli mkuu, kila jambk na changamoto zake lukuki.

Endelea kupambana, mafanjkio yapo mbele!!
 
Wazee pale BOT wanaiona paypal kama scam flanj hivi sijui kwanini Tz tunakuwa nyuma kwenye fursa internationally?
 
Mkuu muache unahangaika Nini. Ameamua kudandia gari mbele ama jump the gun.
Hajafanya his due diligence akajiridhisha.
Nashukuru umeongea vizuri mie nimekuelewa vizuri Sana. Na ulivyoongea unaamanisha kweli Ila yeye hawezi kuelewa.
Maisha ni kuchagua Mana pia tunatofautiana.some see big picture some see details,some are lateral thinker so while others are linear thinker
 
Mtaani kumake hela kihalali si mchezo,mchezo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ