Hivi kweli mtu anaamni Marekani hakuna madini? Africa tujitathmini sana

Hivi kweli mtu anaamni Marekani hakuna madini? Africa tujitathmini sana

Uongo mkubwa sana huu na matangopori ya vijiweni tu, unahitaji kuwa kichwa panzi sana kuamini ujuha na propaganda kama hii.
Mkuu,
Don't argue with a FOOL or else he'll drag you down to his level..
Utafiti hupingwa kwa utafiti, ila pimbi kama hilo haliwezi kukuwekea hapa data za kiutafiti. Linakuja tu na uongo wa kupika kutoka kichwani kwake. Ukimuomba rejea (reference) ya andiko lake hana!
 
Tuiite Marekani ya wazungu, wakoloni, waliovamia na kidogo kuwaua Wahindi wekundu wote au Marekanj ya nani?! Mleta mada ebu tuelimishe...
Ukisemq hivo waaarabu africa nao walivamia na kuua weusi wote na kuzifanya nchi za kiarabu kwanzia mosri mpaka morocco
 
Jana nilipost ugunduzi wa madini ya RE-E rare earths nchini marekani Jimbo la Wyoming.

Kuna baadhi ya watu walibisha kwamba marekani ni waongo. Hawana hayo madini. Nilijiuliza sana uwezo wa Hawa watu wa kufikiri. Ukubwa wa USA🇺🇸 ni karibia 10 million km2 za mraba.

Ina maana ukubwa wa USA ni karibia nchi zote za SADC au Tanzania mara kumi. Marekani Ina raia wachache sana (333 million).

Sehemu kubwa ya USA ni pori. Ni ardhi ambaye haijaguswa kabisa.

Swali linakuja, kwenye nchi kubwa kama USA utakosa madini mengi.

Kama tusafia DRC kwamba ni nchi yenye madini mengi, ni saidi sana marekani. Marekani ni nchi yenye utajiri mkubwa sana wa ardhi, misitu, mbuga, maziwa, madini. Tujifunze geography ya dunia na features zake. USA kama nchi ni 1/3 ya bara la Africa.

Tuache uvivu wa kusoma
Ukiambiwa reserve ya mafuta aliyonayo Marekani hutaamini. Utajiuliza kwa nini anunue mafuta toka nje jibu ni kwamba anayatunza mafuta yake kwa matumizi yake iwapo kutatokea uhaba wa mafuta duniani. Marekani ni ya tisa Ulimwenguni kwa wingi wa mafuta .
 
HAKUNA NCHI ISIYOKUWA NA RASILIMALI........HATA JANGWANI MADINI YAPO CHANGAMOTO NI WAKAT WA EXPLORATION
 
Unajua hata mafuta(petroleum)yalianza kugunduliwa marekani?ama unajitoa akili.

Mmarekani yeye anachofanya raslmal zake hatumii anavuna kwengine anajiwekea reseve ya kutosha.
Marekani haweki reserve ya mafuta wala gas. Anachofanya analinganisha gharama za kuchimba, sio kila mafuta yanachimbwa kwa gharama sawa. Saudi Arabia na Kuwait wanatumia nguvu kidogo sana kuchimba mafuta hivyo hata wakiuza kwa bei ndogo wanapata faida. Wakati Marekani inabidi ifanye cracking ikitaka kujitosheleza. Pia Marekani inatumia mafuta mengi sana, kwa siku wastani wa pipa milioni 20. Wakati Marekani mwaka jana ilizalisha wastani wa pipa milioni 13 kwa siku, ikifuatiwa na Saudi Arabia na Urusi.

Kwahiyo Marekani inachimba mafuta yanayofikika kwa gharama nafuu kwake, then inachukua nje kujazia deficiency. Ikitokea bei ya mafuta imepanda sana duniani ndipo Marekani inaweza tumia cracking kujitosheleza sababu breakeven itafikiwa na kutakuwepo economic justification.

Kuna nchi kama Venezuela ina mafuta mengi sana kwenye reserve ila yanahitaji gharama kubwa kuyachimba. Investors are not interested, wanaishia kuchimba visima vichache.
 
Usiamini sana takwimu za hao vinyeo..sasa kama USA ndio inaongoza kwa mafuta kwanini wanakomaa na mwarabu na kama wana madini ya kutosha kwanin wamejazana congo..muafrica hana reasoning kila anachokisoma anaamini bila kufikiri. Angalia impact ya mafuta UAE angalia mjia wa Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain na Fujairah miji imejengwa na mafuta na imejengeka kisasa sasa hiyo marekani imejengwa na nini kama sio watumwa na dhuluma marekani ni ileile aliyoenda babu yako 1960 na wewe ukienda leo hakuna tofauti??
 
Sasa nchi yenu wataiweka vipi katika list ya Top 50 bora wakati hata kuvitangaza vivutio vyetu vya utalii hatufanyi hivyo na hata maajabu ya hii nchi hatuyapromote dunia iyatambue, hao Watoa taarifa watapata wapi data kama sisi hatuna muda wa kuitangaza nchi yetu?

kama media zao huwapa taarifa wanazotaka wao muzijue msishangae hata sifa bora wakajitungia kwa maslahi yao, huwa nashangaa vijana wapumbavu msiojua utajiri wa hii nchi, tembeeni zunguken mikoani huko alafu mtoe conclusion kwa ku compare na hizo nchi mnazoona tajiri.

Vijana wengi na wazee wapumbavu ambao hata VISA/passport hawana kazi yao kulalamika na kuilaani nchi kwa ufukara wao wenyewe.

Hivi nyie vilaza huwa mnajua kwamba Tanzaia ndio nchi nambari 2 kwa Vivutio vingi vya utalii pamoja na resources baada ya Brazili?.

Hizo elimu mnasomeaga wapi vilaza nyie mnaojazwa chuki za kijinga namna hiyo,

Hiyo USA haina lolote la ajabu kuishinda hata Tanzania vijana tembeeni acheni kulishwa upumbavu na hizo media&movies, Tokeni magetoni muijue dunia iko vipi
Madhara ya moshi wa mwenge. Bure kabisa.
 
Toka jf imeanza kusambaza link Facebook, na vilaza wa fb wakajazana huku, jf hatupumui....

Kwenye huu uzi kuna watu wanashusha PUMBA TUPU tena kwa kujiamini mpaka unashindwa hata kumsahihisha....
 
Back
Top Bottom