bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Medical officer anajua dawa?Mfamasia unataka atibu anajua kudiagnose?
Narudia kusema kwamba displine ya pharmacy iheshimiwe,Unataka kusemaje? Wazir wa dawa na afya nipo hapa malizia nikuelewe,, kwamba kugawa dawa unaona ni kama kugawa bia... Kijana hebu malizia nikujibu kiundani
Medical officer anajua dawa?
Hata pharmacist anasoma diagnosis first year na second yearMedical Officer anasoma Pharmacology, nadhani semister ya 3 na 4, kuna likitabu linaitwa Katzung sijui.
Elimu hii tumepewa na mabeberu Sasa tutaendaje tofauti waende hata miak 6Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebishenu hili
Medical officer ana recommend dawa hakiwa Hana uzoefu wowote Wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa,
Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Kama watu wamavyo mu underate MTU anaesomea food science au human nutrition, (huku mtaani wanaitwa mama ntilie)Kitu nilichojifunza kwenye career life ni kuwa ni rahisi kuichuikulia poa field ya mwenzio kwa sababu ya mtazamo wa nje kama outsider, Ila ukipata bahati ya kuielewa au kuifanya hata kwa siku tu. Utabadili mtazamo wako
Hata pharmacist anasoma diagnosis first year na second year