Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

S
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebishenu hili

Medical officer ana recommend dawa hakiwa Hana uzoefu wowote Wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa,
Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Sina taaluma na wala uzoefu wa haya mambo lakini sichukulii poa kama ilivyo kwako kwani ninapotoka kwa tabibu huwa sioni sehemu yoyote anapoandika 2x3 ila hilo huwa ninalikuta kwa mgawa dawa huyo unaye dharau taaluma yake.
 
S

Sina taaluma na wala uzoefu wa haya mambo lkn sichukulii poa km ilivyo kwako kwani ninapotoka kwa tabibu huwa sioni sehemu yoyote anapoandika 2x3 ila hilo huwa ninalikuta kwa mgawa dawa huyo unaye dharau taaluma yake.
Anakuandikiaje dawa Fulani, wakati mtaalam wa hayo madawa yupo?
 
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebishenu hili

Medical officer ana recommend dawa hakiwa Hana uzoefu wowote Wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa,
Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Sasa mleta mada ulitakaje?
Ulitaka mfamasia apewe majukumu ya Daktari au Daktari anyang'anywe majukumu yake?

Unailaumu tu serikali, lakini hilo suala ni jambo la kiulimwengu
 
Very interesting topic.
Lazima kuwe na connection kati ya mfamasia na tabibu. Ili wakutane mahali ni lazima kuna masomo wanasoma yanayowakutanisha mahali. At the end, wote lazima wajue kufanya diagnosis(mfamasia kwa kiwango kidogo na tabibu kwa kiwango kikubwa), wote lazima wajue kufanya prescription (mfamasia kwa kiwango kikubwa na tabibu kwa kiwango fulani).
 
Anakuandikiaje dawa Fulani, wakati mtaalam wa hayo madawa yupo?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua sayansi ya dawa (Taaluma ya ufamasia) na sayansi ya kutibu (taaluma ya utabibu).
Wanasayansi wanasema, Msingi wa sayansi ya tiba (Medicine) uko kwenye kugundua ugonjwa (diagnosis) na kutibu ugonjwa (treatment), na dawa ni sehemu mojawapo tu katika kutibu, huwezi kumtenganisha Daktari na dawa, mfamasia ni msaidizi wa Daktari katika kufanikisha suala la tiba kwa mgonjwa.
 
Very interesting topic.
Lazima kuwe na connection kati ya mfamasia na tabibu. Ili wakutane mahali ni lazima kuna masomo wanasoma yanayowakutanisha mahali. At the end, wote lazima wajue kufanya diagnosis(mfamasia kwa kiwango kidogo na tabibu kwa kiwango kikubwa), wote lazima wajue kufanya prescription (mfamasia kwa kiwango kikubwa na tabibu kwa kiwango fulani).
Umetisha Sana,

Kuna siku nimeingia morning report wilaya ya ilala, MD na Clinical officers wakaanza kubishana kwa kumpa mgonjwa wrong dose.., mwisho kabisa

Mfamasia akaongea kwamba mgonjwa alitakiwa kupewa dose flani kwa kiwango flani, na sio Kama madaktari walivyoandika apewe.
 
Back
Top Bottom