Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

Kanachapa kazi haka kabaiby isee! Mengine hayo ni umbeya tuuúuuuuu 😡!
Ni sawa kama anachapa kazi, sasa kumtoa huko kumleta huku ni katika kutunuku utendaji wake au ndo kamaliza kazi huko?

Kama ni mtendaji haswa, wamuache apige kazi mpaka hiyi wilaya ionekane hadharani, wampe incentives tu za kutosha na pengine za ziada ili awe motivated. Wakiona alipofikia hakuna tena atakachoongeza, wampeleke kwingine, nako akatunyanyulie maendeleo, sio kumleta huku tunakoenda AUTOMATIC, hapa hataweza kuonesha uwezo, atazingirwa na ujinga na ukwelu kwamba anao ujinga, utaonekana hadharani hapa.
 
Lazima wataitwa kuoewa a b c za uongozi.
 
Halafu kwa uelewa wangu, nilikuwa najua ma DED angalau ni wale waajiriwa wa serikali wenye uzoefu, mfano wakuu wa idara katika halmashauri. Kwa sababu mkurugenzi anaenda kusimamia uchumi wa halmashauri. Ngoja tusubiri tuone.
..uko sahihi, mama angeshauriwa vizuri, wakurugenzi wanapaswa kutoka ndani ya utumishi wa umma sio wanasiasa au makada, vinginevyo atajaribu utumishi wa umma
 
EeeenHeeee!

Nacheka huku nikilia machozi kwa nchi yangu Tanzania.

Tunatoka kwenye kikaango tunaangukia kwenye makaa ya moto mkali.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Ungeteuliwa wewe ungekataa
 
Yaani DEDs ndo roho ya maendeleo usipoteua mkuu wa idara ukamleta mtu from nowhere yaani hachomoi
Lakini kumbukeni mwendazake aliteuawa mpaka watangazaji wa shilawadu kuwa ma-DED mpaka leo wanatusua!
 
.nakuunga mkono, hawa vijana wa juzi hapa jf wanashindwa kutifautisha uigizaji kama kazi na Elimu ya mtu. YAni kufungua mageti kwenye movie ndo mlinzi wa ukweli kwenye maisha ya kawaida???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…