Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
RPC ni wilaya.RCO ni ngazi ya mkoa pia,sio kwa DC.
OCD ni wakuu wa vituo vya polisi. Mimi mwenyewe nina Anko amewahi kuwa OCD.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RPC ni wilaya.RCO ni ngazi ya mkoa pia,sio kwa DC.
mh hapana,kamuulize vyema.RPC ni wilaya.
OCD ni wakuu wa vituo vya polisi. Mimi mwenyewe nina Anko amewahi kuwa OCD.
Baadala ya kubadilishwa RSO na DSO wote nchini Rais anabadilisha Wakuu wa wilaya.Kifupi hatuna Rais hajui mifumo inayo endesha nchi.RPC ni wilaya.
OCD ni wakuu wa vituo vya polisi. Mimi mwenyewe nina Anko amewahi kuwa OCD.
Kwahiyo nani mkubwa kati ya RPC na RCO ?mh hapana,kamuulize vyema.
OCD ni mkuu wa polisi wilaya,mkuu wa kituo anaitwa OCS.
RPC ni mkuu wa polisi mkoa.ila kuna mikoa ya kipolisi kama hapa dsm kuna mikoa 4 yote ina ma RPC pia.
Amwaminie mwanadamu Amelaniwe je we mkulungwa umelaniwa?Hii avatar yangu naibadilisha soon, sababu niliyemwamini ananiangusha siku baada ya siku.
Tanzania nchi yangu nakupenda sana
rpc ndiye mkuu wa shughuli zote za polisi mkoa.Kwahiyo nani mkubwa kati ya RPC na RCO ?
Women should never lead men in power, politics and authority. Hayo ndiyo matokeo yake ......Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.
DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.
Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!
Mungu ibariki Tanzania!
Yaani kwako wapiga debe hawafahi unataka maprof siyo? Acha tuendelee na wapiga debe wa daladala ndiyo wanajua tatizo la wananchi.Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.
DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.
Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!
Mungu ibariki Tanzania!
Hii kweli imekaa vibaya sana aisee [emoji2][emoji2][emoji2]DC ni cheo ambacho hata kisipokuwepo hakuna kitakachokwama.
Sema maRPC ndio watakaopata tabu, imagine utatakiwa kuwaheshimu hao kama wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama[emoji1787]
Uaskari ni kazi ngumu sana.
Umeongea niliyotaka kusema! Huyu mwenyekiti wa huu Uzi ni mpuuzi na mbaguzi kuliko! Amewadharau watu bila kujua kama wamemzidi sana.. Kama JPM tu vile alivyokua akaupata Urais sembuse hao vijana wenye utimamu wa akili.Acheni dharau wateule almost wengi wa uDC ni wasomi wazuri sana huyo mfungua mageti wa filamu za Kanumba ana Masters MPA, Nikki ana Masters Simalenga msomi, Mwaipaya Msomi.
...huo u serious mnaoujaji ni upi....wateule wote ni makada wa chama Chao na wenye rekodi safi...acheni roho za kichawi waacheni vijana wenzenu wakafanye kazi na kuijenga Tanzania.
Kuna watu huwa mnajikuta nyie ndio mnastahili sana...mnajihesabia haki...hao waliopata wamekuwa vetted na wana sifa stahiki waacheni wakafanye kazi tuache kutia siasa kwenye kila kitu.
Ukiona unaumia uteuzi au mafanikio ya mwenzio na Huna sababu za msingi jitambue Huna tofauti na MCHAWI
Imagine Bro, eti 7buyer.. jiwe... Kasesera.. Na wale wapuuzi wanaokula mahalalio yetu bungeni wamepewa nafasi nyeti, iweje wengine wakose? Hii nchi ni yetu sote!Kama jambazi Sabaya aliuweza uDC nani mwingine atashindwa??
Mataga muacheni Mama enu mdogo afanye kazi.
MKOA WA DAR UNAHITAJI maDC WAZOEFU. SASA UNAMCHAGUA HERI JAMES NA FATMA ALMAS WAJE WAJIFUNZIE DAR? SI WANGEANZIA NAMTUMBO AU URAMBO HUKO
Hata Bible imesema hivyo good morning my dear [emoji3578][emoji3578]Women should never lead men in power, politics and authority. Hayo ndiyo matokeo yake ......
Ni kweli kabisa roho za kichawi na wivu ni vitu vinavyomtesa mleta uzi.Acheni dharau wateule almost wengi wa uDC ni wasomi wazuri sana huyo mfungua mageti wa filamu za Kanumba ana Masters MPA, Nikki ana Masters Simalenga msomi, Mwaipaya Msomi.