Nimekuwa supporter mkubwa wa siasa za mama Samia the way alivyotutoa kwenye hali tuliyokuwa nayo ya mawazo mengi, uoga, unyonge nk lakini kwa sasa inatosha kusema hakuna atakapotupeleka .
Sio kwamba siasa zake ni mbaya Ila nna ambavyo anaendesha mambo kama vile nae ni mwinyi fulani. Naangalia hizi teuzi kwakweli naona tatizo kubwa sana kwenye aina ya uongozi anayoitaka.
Budget hii sio yake, let's wait ya mwakani, Ila naona kabisa tutapigwa sana sitaki kumuongelea Magu maana nae alikuwa mpigaji tu Ila nilidhani huyu mama atatunyooshea mambo but same business tena ni hewa kabisa.
Hapa ndipo watakuwa wamemaliza kutuaminisha kwamba mwanamke anaweza. Huyu atageuka kuwa mwiba mchungu kushinda JK. Haieleweki.