Huwezi kujua na wewe unaweza kumzidi maana si tu wewe unawaza pombe na ngono lakini yeye papa Francis alishawahi kuwa mlinzi tena baunsa wa klabu za usiku let's say kibongo bongo baunsa wa kitambaa cheupe, just imagine wewe unayewaza pombe na ngono lakini yeye aliyekuwa anaruhusu watu kwenda kufanya mambo Yao kama vile kulewa, kufanya ngono na laana za aina mbalimbali nani ana dhambi?, lakini angalia Sasa!, ndio maana ukaambiwa hujui kesho yako Leo gaidi kesho kiongozi mkubwa, Leo mlevi kesho pastor mkubwa, Leo mwizi kesho general wa nchi, Kila mmoja ana dark side yake. Such is life Mzee.