Hivi kweli siku ya mwisho, hukumu yangu mimi itakua sawa na ya papa Francis aliyejitolea maisha yake yote kumtumikia Mungu?

Padre, Askofu, Kardinali au hata Papa hawawezi kuwa na mke Wala demu kwa mujibu wa sheria ya Kanisa Katoliki la Kilatini, na wakikiuka, hatua kali za kinidhamu huchukuliwa, hata ikiwa ni pamoja na kupoteza madaraka yao. Papa Francis wakati wa maisha yake yote kama mtumishi wa Kanisa haikuwah kudhibitishwa kama alikuwa na demu au mke..ndo maana Hadi kifo kinamfikia alikuwa Bado ana madaraka kamili ya Upapa.
1. Pale st. Francis mbeya, pembeni ya ile shule kuna nyumba ya mapadre.
Kulikuwa na mnyukano wa masista wa kugombe nafasi ya kumhudumia pendre mgeni aliefikia hapo.

2. Classmate wangu alifukuzwa kazi baada ya kumpamimba sister, wote walikuwa waajiliwa wa hospital ya kanisa huko kagera.

3. Arusha kuna pandre wa jimbo kuu alimzalisha kabisa mdada alieenda kuungama kanisani. Pandre alikuwa muitalia, baada ya muda wake kjisha akarudi kwao. Yule kijana kwa sasa ana miaka 18 yuko Marekani.
Lamomy
 
Wakuu nipo hapa natafakari msiba wa papa Francis,nimejiuliza huko kwa Mungu kweli tutapewa haki sawa?

Yani mimi ambae muda wote nawaza wanawake na pombe nihukumiwe sawa na papa Francis ambae maisha yake yote kajitolea kumtumikia Mungu?

Ebu tuache kujifariji kwa hizi nadharia please.
Kama alishindwa kuzuia kanisa kuwanyang'anya wafiwa fedha zichangwazo na ndugu,majirani na marafiki wa marehemu ili kuwafariji wafiwa amini hakua akimtumikia Mungu.
 
1. Pale st. Francis mbeya, pembeni ya ile shule kuna nyumba ya mapadre.
Kulikuwa na mnyukano wa masista wa kugombe nafasi ya kumhudumia pendre mgeni aliefikia hapo.

2. Classmate wangu alifukuzwa kazi baada ya kumpamimba sister, wote walikuwa waajiliwa wa hospital ya kanisa huko kagera.

3. Arusha kuna pandre wa jimbo kuu alimzalisha kabisa mdada alieenda kuungama kanisani. Pandre alikuwa muitalia, baada ya muda wake kjisha akarudi kwao. Yule kijana kwa sasa ana miaka 18 yuko Marekani.
Lamomy
Sheria haziruhusu..lkn wengine wanavunja..ndo ubinadam..hoja ni hamna ushahidi wowote kwamba Papa Francis alikuwa na mke Wala demu..kama upo ulete kwenye jukwaa.
 
Wengi sana wanaokiuka.
Kuna mwanafunzi mmoja wa upadre alikuwa mlevi mbwa, kwa sasa ni padre.
Wengi..wapi!?..una data au asilimia..ngapi!??..kwa mfano mmoja..tu..!?
 
Sheria haziruhusu..lkn wengine wanavunja..ndo ubinadam..hoja ni hamna ushahidi wowote kwamba Papa Francis alikuwa na mke Wala demu..kama upo ulete kwenye jukwaa.
Nimekuandika hayo baada ya kusema hawawezi kuwa na mahusiano kwa kuwa sheria ya kanisa hairuhu. Hakuna sehemu nimemuongelea Francis kuwa na mahusiano.
 
1. Pale st. Francis mbeya, pembeni ya ile shule kuna nyumba ya mapadre.
Kulikuwa na mnyukano wa masista wa kugombe nafasi ya kumhudumia pendre mgeni aliefikia hapo.

2. Classmate wangu alifukuzwa kazi baada ya kumpamimba sister, wote walikuwa waajiliwa wa hospital ya kanisa huko kagera.

3. Arusha kuna pandre wa jimbo kuu alimzalisha kabisa mdada alieenda kuungama kanisani. Pandre alikuwa muitalia, baada ya muda wake kjisha akarudi kwao. Yule kijana kwa sasa ana miaka 18 yuko Marekani.
Lamomy
Mimi babu yangu mzaa baba yangu ni padre na bibi yangu sister alitimuliwa baada ya kumuelewa babu tena mzungu puree..!!
😹😹😹

Hawa wanaongea vitu hawavijui ubishi tu km shipa..!!
 
Maaskofu, mapadri, makadinali na hata papa. Huweka nadhiri za useja (celibacy).

Wanaapa kutojihusisha na mapenzi, mahusiano na ngono kwa maisha yao yote ya utume.

Lakini baadhi yao huwa wanakiuka hivi viapo.
Kwahiyo huwa wanaviishi?
Au huwa wanakuwa nao kimya kimya..!!

Unajua linapokuja swala la hisia za kimwili hakuna wa kuzizuia otherwise uwe na matatizo ya kiafya..!!

Kwa hilo unasemaje?
 
Kila mtu atahukumiwa Kwa matendo yake na kumbuka si Kila unayemuona ni msafi basi wote ni Wasafi wengine wamechafuka
 
Wakuu nipo hapa natafakari msiba wa papa Francis,nimejiuliza huko kwa Mungu kweli tutapewa haki sawa?

Yani mimi ambae muda wote nawaza wanawake na pombe nihukumiwe sawa na papa Francis ambae maisha yake yote kajitolea kumtumikia Mungu?

Ebu tuache kujifariji kwa hizi nadharia please.
Binadamu usimchukulie powa .
Papa Francis huyu unayemjua wewe ni tofauti na yule anayemjua Mwenyezi Mungu.
Kuna siri imefichwa baina yetu.
 
Aisee, uhuru umezidi.
Unamsagia kunguni marehemu?. 🙄
Simsagii ila ku kwichy wanakwichy vizuri, Hawa wanaotetea hawajawajua vizuri..!!

Mimi nimezaliwa ndani ya imani ya catholic nishacheza vipapa, viwawa na ss hivi nahamia wawata…!!
Kipindi tuko wadogo tulikuwa tunaenda mpk kule wanakoishi mafrateli na mafaza, kulikuwa na dada zetu wanatoka nao hao wapakwa mafuta…!! Wanahonga balaa 😹😹😹
 
Ushahidi ninao, kwahiyo na wewe na ujanja wako wote unakubaliana kwamba hawakuwa wanazini?? 😹😹😹

Hizi imani zinawapofusha sana..!!
Mimi ni mseminary wa miaka 7. Kiufupi nimeishi kanisani (RC) miaka 7 so najua kila kitu nje ndani.

Na mimi niliachana na Seminary baada ya kuona yaliyokuwa yakifanywa na baadhi ya watawa na mapadre.

So najua hayo mambo yapo sana lakini huwezi kukosa wenye ule wito wa kweli na ambao hawafanyi hayo masuala. Hao wapo na nakuambia kuna njia za ku supress hizo hisia za kimwili.
 
Kufanya wote wanafanya labda km nilivyosema wawe na changamoto ya kiafya..!!

Hizo hisia kuzizuia ni kazi km kuzuia usile, usiende toi au usilale..!!
Wewe kilichokukimbiza nini na ikiwa matendo yao hao watawa wewe hayakuhusu?? 😹

Hapo ulishaona kuna vitu ulihitaji ukajikataa usidanganye bwana Charlie 🤣
 
Wakuu nipo hapa natafakari msiba wa papa Francis,nimejiuliza huko kwa Mungu kweli tutapewa haki sawa?

Yani mimi ambae muda wote nawaza wanawake na pombe nihukumiwe sawa na papa Francis ambae maisha yake yote kajitolea kumtumikia Mungu?

Ebu tuache kujifariji kwa hizi nadharia please.
mungu yupi?,?............jambo usilolijua n sawa na usku wa giza
 
Kufanya wote wanafanya labda km nilivyosema wawe na changamoto ya kiafya..!!

Hizo hisia kuzizuia ni kazi km kuzuia usile, usiende toi au usilale..!!
Wewe kilichokukimbiza nini na ikiwa matendo yao hao watawa wewe hayakuhusu?? 😹

Hapo ulishaona kuna vitu ulihitaji ukajikataa usidanganye bwana Charlie 🤣
Wewe kama umeamua kushikilia msimamo wako wa kuwa hakuna anaeweza kuzizuia hizo hisia sawa. Lakini kiapo cha celibacy wapo wanaokiishi kweli.

Ila nikuambie tu kuna ambao hawana hata hiyo sakramenti ya upadre au nadhiri ya usisiter lakini wanaweza na wana abstain na hakuna madhara yeyote watapata kiafya ya mwili na akili. As long as hiyo energy inakuwa directed somewhere else (prayer, meditation, service n.k)

Upande wangu tu labda nilipokuwa nilikatishwa tamaa kidogo lakini pia wakati namaliza form six ule muda wakukaa home miezi 8 nikapuliziwa moshi wa weed na jamaa zangu tuliokuwa nao kitaa so nikajikuta nakataa kurudi Spiritual Formation House.
 
Hiyo nimeikataa wazi wazi, hao watu wanabanjuka inawezekana hata kutuzidi mimi na wewe..!!

Hao mafaza nimeishi nao wengine wanasalisha misa ya asubuhi wameamka na hangover..!! Kutongoza sasa wohiiiiii 😹

Kuna vitu vingine vya ndani sana siwezi kuviongea hapa watu wataunga doti bure ikawa kitimtim..!!
 
Back
Top Bottom