Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Wewe labda unashindwa kusoma na kunielewa. Mimi sijakataa kuwa hawafanyi hivyo bali nakataa ukisema ni wote.Hiyo nimeikataa wazi wazi, hao watu wanabanjuka inawezekana hata kutuzidi mimi na wewe..!!
Hao mafaza nimeishi nao wengine wanasalisha misa ya asubuhi wameamka na hangover..!! Kutongoza sasa wohiiiiii 😹
Kuna vitu vingine vya ndani sana siwezi kuviongea hapa watu wataunga doti bure ikawa kitimtim..!!
Kuna wanaoishi kiapo cha celibacy. Ila wapo pia wasioishi kiapo hicho. Hiyo ndio point yangu.