Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Jamani nimekaa na Wasukuma, ni watu wakarimu sana na wenye upendo wa hali ya juu.
Hapa JF siku za karibuni yametokewa masimumulizi mengi ya riwaya yakiwaelezea Wasukuma kwamba ni jamii iliyooza na kutopea kwenye uchawi.
Jamani kweli mambo ndio yako hivyo? Au ndio wanaonewa na kumezewa mate?