Hivi kweli Wasukuma ni wachawi sana kama wanavyoandikwa hapa JF?

Hivi kweli Wasukuma ni wachawi sana kama wanavyoandikwa hapa JF?

 Huwezi kujua kuwa wao ni wachawi mpaka na wewe uwe mchawi.
 
Jamani nimekaa na Wasukuma, ni watu wakarimu sana na wenye upendo wa hali ya juu.

Hapa JF siku za karibuni yametokewa masimumulizi mengi ya riwaya yakiwaelezea Wasukuma kwamba ni jamii iliyooza na kutopea kwenye uchawi.

Jamani kweli mambo ndio yako hivyo? Au ndio wanaonewa na kumezewa mate?

Wasukuma na ushirikina ni Pete na kidole, hilo wala sio Siri.
Ingawaje Makabila yote ya TANZANIA na Afrika yanaamini katika ushirikina.
Ila Kwa hapa Tanzania Wasukuma ni namba moja Kutokana na matukio waliyowahi kuyafanya na wanayoendelea kuyafanya,
Kama mauaji ya wenye macho mekundu, Shinyanga, mauaji ya Albino, Usukumani kote,
 
Wachagga unawaacha wapi katika ushirikina hasa Kibosho
 
Wachagga unawaacha wapi katika ushirikina hasa Kibosho

Nimesema makabila yote wanaamini katika ushirikina, yaani niwashirikina.
Lakini Kwa hapa bongo hakuna kabila litakalotoboa Mbele ya wasukuma Kwa habari za Uchawi na ushirikina.

Wasukuma ni washirikina Sana, Hawana cha msukuma wa wapi yaani ni Pande zote.

Ingawaje wapo wachache Sana hawaamini hizo ishu.
 
Ukiona mtu anapenda kuandika andika habari za kishirikina, huyo hamjui MUNGU..pia mda sii mrefu naye atakua Mchawi.
 
Raha ya Tanzania na watanzania kwa ujumla ni watu wa kuamini kila wanachosikia bila kuuliza hata maswali achana na kwenda sehemu husika kufanya observation research.

Kuna semi na imani nyingi sana juu ya makabila na sehemu nyingi zenye kupotosha na mtu akishasikia tu yeye analibeba na kulisambaza kwa nguvu na kasi mithiri ya mawakala wa kataa ndoa hali hajawahi fika sehemu hiyo wala kushuhudia yale anayosambaza.

Kwa mfano:
1. Uchawi unaosimuliwa juu ya makabila mengi hapa nchini ni uongo mtupu. Hauko kwa kiasi hicho. Kama ungekuwepo basi watu wasingekaa kabisa huko hususani wasio wazawa. Kuna wahamiaji wengi usukumani hawalalamiki wanaishi kwa amani na wanavuna pesa na madini yaliyolala pale.
2. "Mapenzi yalianzia Tanga" ni utapeli mtupo na magogo yamejaa kule
3. "Makabila fulani ni wazinzi" ni utapeli mtupu. Uzinzi tunaupiga sote bila kujali kabila wala dini.

Wasukuma siyo wachawi. Kama ni wachawi basi siyo watu wa kuloga watu maana nimekaa kunzia Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kahama, Geita/Ushirombo
 
Wasukuma na ushirikina ni Pete na kidole, hilo wala sio Siri.
Ingawaje Makabila yote ya TANZANIA na Afrika yanaamini katika ushirikina.
Ila Kwa hapa Tanzania Wasukuma ni namba moja Kutokana na matukio waliyowahi kuyafanya na wanayoendelea kuyafanya,
Kama mauaji ya wenye macho mekundu, Shinyanga, mauaji ya Albino, Usukumani kote,
Hatari sana
 
Back
Top Bottom