Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Kweli hawana Akili kichwaniJamani nimekaa na Wasukuma, ni watu wakarimu sana na wenye upendo wa hali ya juu.
Hapa JF siku za karibuni yametokewa masimumulizi mengi ya riwaya yakiwaelezea Wasukuma kwamba ni jamii iliyooza na kutopea kwenye uchawi.
Jamani kweli mambo ndio yako hivyo? Au ndio wanaonewa na kumezewa mate?
Hata mie nilitaka kumuuliza hivyo hivyo, so Akikujibu nitag
Weee mzee, acha bangiMimi ni mchawi wa hisabati, shida juu ya nini? Nimeshika tebo ya kwanza, ya pili na ya kumi baaaaaaass
We mwenye akili umevumbua nini mpaka sasa hivi?!Kweli hawana Akili kichwani
Wanaamini uchawi
Wengi wao wanatumi
Naye mchawi?Mi nampenda hivyohivyo.....Nimemwingiza Jehova katikati yetu🙏
Kabila gani ambalo hawana uchawi na wachawi?Kweli hawana Akili kichwani
Wanaamini uchawi
Wengi wao wanatumi
Bange ni mali. Kama mnataka mali, limeni bangeWeee mzee, acha bangi
Bhebhe ng'wanike,olehale??Wanatuchafua tu hakuna hayo ingekuwa uchawi Upo ningekuwa mchawi na mim niwaroge [emoji23][emoji23]
To yeye usiamini maneno ya wanoknok watu wa kupakaziaKila jamii ina wachawi ila wasukuma wamezidi kuonewa kila uchafu wanatupiwa wao
Ikungulyabashasi watu wote wameokoka na wananena kwa lugha mpyaNi wachawi kuliko ulivyowahi kusikia
Anzia bariadi, simiyu, magu, ukerewe, geita, biharamulo, na shinyanga gamboshi kwa juu kidogo ni nomaa
Ni wachawi balaa, asikwambie mtuJamani nimekaa na Wasukuma, ni watu wakarimu sana na wenye upendo wa hali ya juu.
Hapa JF siku za karibuni yametokewa masimumulizi mengi ya riwaya yakiwaelezea Wasukuma kwamba ni jamii iliyooza na kutopea kwenye uchawi.
Jamani kweli mambo ndio yako hivyo? Au ndio wanaonewa na kumezewa mate?