Hivi kweli Wasukuma ni wachawi sana kama wanavyoandikwa hapa JF?

Kila jamii ina wachawi ila wasukuma wamezidi kuonewa kila uchafu wanatupiwa wao
Nadhanu awamu iliyopita ilisababisha wasukuma wakajengewa taswira za aina zote

Ila wasukuma ni wenzetu tunaishi nao na kushirikiana nao, as time goes, tutasahau na tutawachukulia kama wanadamu wa kawaida
 
Wasukuma wameanza kuandamwa tangu zamani. Ile awamu ni kisingizio tu
Nadhanu awamu iliyopita ilisababisha wasukuma wakajengewa taswira za aina zote

Ila wasukuma ni wenzetu tunaishi nao na kushirikiana nao, as time goes, tutasahau na tutawachukulia kama wanadamu wa kawaida
 
Wachawi sana
 
Ushirikina umejaa mwanza ndio maana maendeleo kwao hakuna. Kazi kuuwa vikongwe na albino tu ili wapate utajiri
 
Ndo mara ya kwanza kuona na maduka ya tunguli na uganga ni hatar hawa watu
 
....nipo Kanda ya ziwa naishi na wasukuma kwa ukaribu kwa muda sasa, sijawahi logwa, .......ni wakarimu sana wanapenda watu, wanajali wageni, utafurahi kwenye rafudhi yao, na kupenda kufupisha majina eg doto-doi, ndebile-ndebi, Frank-fule, Mathias- tia.....
 
It is in their DNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…