Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Au nimevuruga uzi wako kiongozi?Umeniongezea maswali ndugu.
Au nimevuruga uzi wako kiongozi?Umeniongezea maswali ndugu.
Hapana, umechangamsha mada.Nim
Au nimevuruga uzi wako kiongozi?
Huyu Lazaro wa kwa Ibrahimu ni mfano tu, si Lazaro halisi. Ni tofauti na Lazaro aliyefufuliwa na rafiki wa Yesu.Huyu Lazaro anatuchanganya, niliwahi kuuliza hapa makuhani na manabii wote wa humu walikwepa kujibu
- Tunaambiwa Lazaro alikufa akaenda kustarehe mikononi na kifuani kwa Ibrahimu, je aliyemuona yuko na Ibrahimu ni nani? Alifikishaje hizo taarifa duniani?
- Lazaro alipokufa akafufuliwa na Yesu alikuwa amerudi lini toka kwa Ibrahimu?
- Tunaambiwa tajiri aliyemtesa Lazaro alimuomba Mungu amtume Lazaro duniani kuwaambia ndugu zake na tajiri watende mema, je hayo maneno yalishuhudiwa na nani?
Uzi upelekwe jukwaa lingine! Siyo hili la SiasaMwenye majibu tafadhali
Unawezaje ukawa umekufa kuoza ukawa umelala fofo,Kifo ni kama Usingizi mzito. Ndiyo maana Yesu aliwaambia rafiki yetu Lazaro amelala ila naenda kumuamsha. Wakamwambia, "Kama kalala si ataamka!" Lakini Yesu alikuwa anamaanisha kafa. Ukifa huna tofauti na mtu aliyelala fofofo.
Inawezekana una nia ya kutaka kujua lakini amini au usiamini uzi huu utachafua hali ya hewa humu kwa wale wenye kawaida ya kudharau imani za wengine wakiamini kuwa wasiokuwa wa imani yao ni makafir.Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu.
Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote?
Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa kilitokea?
Na je, alikufa mara ya pili au ilikuwaje?
Mwenye majibu tafadhali.
Ambavyo mtu aliyelala fofofo hajitambui ndivyo mtu aliyekufa hajitambui. Utasikia watu "Unafananisha kifo na usingizi?" Ukweli ni kuwa kifo na usingizi vinafanana mno.Unawezaje ukawa umekufa kuoza ukawa umelala fofo,
Unajua MTU aliye lala fofo?
Yule aliyekula makombo je? Biblia inasema alikufa wakakutana na tajiri mbinguniHuyu Lazaro wa kwa Ibrahimu ni mfano tu, si Lazaro halisi. Ni tofauti na Lazaro aliyefufuliwa na rafiki wa Yesu.
Ila binadamu wanajua kutunga hadithi za kuhuzunisha..!!Luka 16 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa.
²⁰ Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi,
²¹ naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake.
²² Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
²³ Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
²⁴ Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
²⁵ Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa.
²⁶ Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu.
²⁷ Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu,
²⁸ kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso.
²⁹ Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.
³⁰ Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu.
³¹ Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
Hapa panaelezea mtu akifa nini hutokea.
haya ni maneno ya Yesu Kristo, Bwana wetu.Ila binadamu wanajua kutunga hadithi za kuhuzunisha..!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....
Duh..!
Ni mifano tu alikuwa anatoa bwana Yesu...Yule aliyekula makombo je? Biblia inasema alikufa wakakutana na tajiri mbinguni
OkNi mifano tu alikuwa anatoa bwana Yesu...
Ila tukio la kufufuliwa lazaro kwa mujibu wa bibilia takatifu ni tukio ambalo lilitokea. Na lazaro aliyekufa na kufufuliwa na Yesu alikuwa rafiki yake Yesu.
Hivyo haya mambo mawili tofauti.
Na Faizafx yumo?haya ni maneno ya Yesu Kristo, Bwana wetu.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Mimi mwenyewe ni Mkristo Mkuu, ila sioni kama ni dhambi kuuliza.Inawezekana una nia ya kutaka kujua lakini amini au usiamini uzi huu utachafua hali ya hewa humu kwa wale wenye kawaida ya kudharau imani za wengine wakiamini kuwa wasiokuwa wa imani yao ni makafir.