secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nielewesheni nielewe wakuu wangu.
Kivipi mkuu?Here on earth, Everything is gambling
Ukikaa nchale ukisimama nchale. Yaani ni nchale tu.Inategemea ntu na ntu.
Inategemea na Lwngo la anayesoma...Nielewesheni nielewe wakuu wangu.
Nimeekuelewa vizuri sana.Inategemea na Lwngo la anayesoma...
Waalimu kibao walituaminisha kwamba tusome ili tuje tupate ajira au tusisome tukabebe mizigo, hii ni mentality mbaya sana kuwaambia vijana.
Sikuwahi kuona mwallimu akisema au akihamaisha watu wakimaliza kusoma wawaze kufanya biashara na kujitafuta nje ya Elimu.
Jambo la msingi ni kusoma kwa ajili ya mahitaji yako binafsi unataka nini au unataka kuwatumikia watu kwenye fani ipi hapo baadae.
Ukiwaza kwamba kusoma kutakufanya uwe tajiri hapo ni kosa, kusoma naona binafsi lengo ni kuwatumikia watu kwenye fani husika..
Suala la kupata hela inabidi lifanyike Nje ya taaluma.
Mfano unaweza kuamua kuwa mtaalamu wa saikolojia na malezi ukaamua kuwatumikia watu katika nyanja hiyo lakini pembeni unafanya mishe mishe zako za biashara mpunga unasoma..
Unaweza. Kuamua kuwa. daktari wa upasuaji lakini pembeni una Biashara zako zinaenda poa tu..
Sioni mahusiano ya kusoma na kupata hela ya maana kwenye kpzi nyingi ni kuwatumikia watu tu......
Tumechagua kuiita betting ni kamari na kuipa jina baya la haramu lakini uhalisia ni kwamba kila kitu kwenye maisha yetu ni kamari.Kivipi mkuu?
Hiki ndo kilichofanya niulize swali. Wazazi waliambia nisome Ili niajiriwe nipate pesa. Nikajiuliza iwapo iwapo lengo la kusoma ni kupata pesa, na wenye pesa wote wamesoma?Tumechagua kuiita betting ni kamari na kuipa jina baya la haramu lakini uhalisia ni kwamba kila kitu kwenye maisha yetu ni kamari.
Unawekeza kwenye muda na pesa kutafuta elimu kwa malengo ya kuja kuajiriwa.
Sisi ambao hatujasoma fungu letu ni lipi?Naombeni hiyo kazi nami nimesoma 😩
Hiki ndo kilichofanya niulize swali. Wazazi waliambia nisome Ili niajiriwe nipate pesa. Nikajiuliza iwapo iwapo lengo la kusoma ni kupata pesa, na wenye pesa wote wamesoma?
Point ☝️ nzuri sana.Wakishtuka basi tutabadilika sana na hata kudanganywa na masisiemu kuhusu mababeru kutakufa kifo cha kawaida tu, ukweli utaanza kutamalaki kwa taifa!
Fayaaa 🔥.I no have education
i have insparation
if i was educated
i would be a damn fool_
Nesta bob marley
Katika jicho pevu lengo la elimu ilitakiwa iwe kumpa mtu maarifa na ujuzi wa kukabiliana na changamoto za kimaisha bc.
Lakini tukirudi kwenye nchi yetu na mitaala ilivyo lengo la elimu ya nchi yetu iliwaandaa wahitimu kuajiriwa na sio kujiajiri na ikumbukwe hii mitaala tumerithi kwa wakolon na kipindi kile wakolon wao waliandaa mitaala itakayowasaidia kupata wafanya kazi wenye ujuzi katika kusimamia miradi yao kwahy Hadi wao wanaondoka sisi tumejikuta tukirithi mitaala yao na kuiendeleza
Rejea mabadiliko ya mitaala ya elimu kwa Tz tangu 1964 Kisha niambie n mtaala upi uliomuandaa muhitimu kujiajiri?60+ years after post independence??
Rejea mabadiliko ya mitaala ya elimu kwa Tz tangu 1964 Kisha niambie n mtaala upi uliomuandaa muhitimu kujiajiri?