Hivi lengo kuu la kusoma (elimu) ni kupata kuajiriwa?

Hivi lengo kuu la kusoma (elimu) ni kupata kuajiriwa?

Asalimia kubwa ya watu wanasoma ilikupata ajira lakn siyo wote. Maana kunawatu wanaenda kutafuta maarifa ya namna kuendesha maliza za familia.


Lakn mm bado naona elimu ni utapeli tuu.
Watanzania wengi wakishamaliza vyuo wanaanza kulilia ajira kana kwamba walisoma ili waajiriwe.
 
Umenichekesha hiyo sentensi yako ya mwisho. Nikakumbuka enzi hizo nipo jobless kitaa nilikua nawaandakia madogo wa chuo field report then wananilipa. Elimu ya bongo janja janja sana.

Sasa mkuu watu kama hao hata wewe kwa nafsi yako ukiwakuta sehemu wanatoa huduma utakuwa na ujasiri wa kuhudumiwa nao? Unajua kabisa background zao za kitaaluma? Na utawakuta ni maafisa wakubwa tu kwnye taasisi za umma ndio utegemee vichwa vya hivyo vijiajiri au kutengeneza ajira wadogo zao wapate kazi?? Mtu hawezi kuunda tatizo la kufikirika na kuliandika halafu kuunda solution ya kufirika pia ndio aende akatatue matatizo ya jamii realistically???

Hivi bado kuna kufanya "comprehension" kule masekondarini?
 
Acheni kutaka excuses kwa eidha kufeli kimaisha, kutokua na ajira au hali mbaya kiuchumi kwa kuilaumu elimu.

Mkuu hizo mambo za kuambiwa soma uje kua fulani, uje kua na pesa uje kua fulani bin fulani unaziamini ukiwa kinda, ila kadri muda unavyozidi kwenda unaona kabisa huku sitoboi, wapo walioachana na shule wakachagua njia nyingine.

Kama ulifika chuo ndo kabisaaa, huna wa kumlaumu maana akili ya utambuzi ulikuanayo kwa kiwango cha juu.

Umesoma ili uyatambue na kumudu mazingira yanayokuzunguka.
 
Back
Top Bottom