Hivi lengo kuu la kusoma (elimu) ni kupata kuajiriwa?

Hivi lengo kuu la kusoma (elimu) ni kupata kuajiriwa?

Inategemea na hali ya uchumi wa familia.
Ikiwa mna mtaji kwenye familia kusoma kwako kutasaidia kuundeleza, ikiwa familia ni kapuku utakuwa bidhaa na utapewa na bei (mshahara) kwa kumfaidisha mwenye mtaji.

Hahaha
Kwani ukianzisha biashara ya Genge, Humfaidishi tajiri Moo na Kampuni yake?

Huwezi kula kama Uliwi, Take it or leave it.
 
Kaka nakubaliana na wewe lkn ni mtazamo tu ndio unafanya haya yawe yalivyo! Hakuna nchi yenye mtaala unaosema muhitimu akajiajiri ila wanasaidia msomi kupata elimu kubwa kwa kumuonyesha resources tu then msomi mwenyewe ataona na atavutwa kujiajiri bila Profesa kumwambia lolote!

Philosophy ya elimu inataka msomi wa chuo kikuu kukesha na kushinda library kusoma na kujifunza extensively, mtaala ni scope ya mitihani tu lkn msomi anatakiwa kuwa na uwezo na ufahamu mpana mara elfu ya program anayofanya! Kwa kuwa sisi tunatazama huo mtaala na mabadiliko yake ndio maana msomi wa degree wa kibongo hana tofauti na fomfoo, period! Msomi wa kibongo anakuwa kakariri madude ya fani yake tu, akitolewa nje tu hana analojua hata sumni!

Wenzetu wa nchi zinazoendelea, anayefanya Masters ile disertation yake huwa ni project kabisa, yani anapograduate anaenda kuexecute na kuajiri, wengine wanaanza kuajiri wakiwa shule au wanadrop! Sisi tunafanyiwa hata research, nilishaona hapa JF watu wanatangaza wanachuo wanaotaka kufanyiwa proposals waende PM! Pathetic
Umenichekesha hiyo sentensi yako ya mwisho. Nikakumbuka enzi hizo nipo jobless kitaa nilikua nawaandakia madogo wa chuo field report then wananilipa. Elimu ya bongo janja janja sana.
 
Hahaha
Kwani ukianzisha biashara ya Genge, Humfaidishi tajiri Moo na Kampuni yake?

Huwezi kula kama Uliwi, Take it or leave it.
B0B103E6-C88F-43CC-8A00-FF1D896D0DE7.jpeg
 
Lengo la wagonjwa kutakiwa kwenda hospital kutibiwa na madaktari au kupewa dawa ni kupona ila sio wagonjwa wote wanaoenda kutibiwa hospital au wanaopewa dawa huwa wanapona, wengine huwa wanakufa kabisa, sasa ukiuumwa uamuzi ni wako kusuka au konyoa.
🔥💪
 
Inategemea na hali ya uchumi wa familia.
Ikiwa mna mtaji kwenye familia kusoma kwako kutasaidia kuundeleza, ikiwa familia ni kapuku utakuwa bidhaa na utapewa na bei (mshahara) kwa kumfaidisha mwenye mtaji.
🤔
 
Hahaha
Kwani ukianzisha biashara ya Genge, Humfaidishi tajiri Moo na Kampuni yake?

Huwezi kula kama Uliwi, Take it or leave it.
Ikiwa familia inamiliki genge na wewe umesoma ili uje kuendeleza genge ambalo unauza bidhaa za Moo lazima umfaidishe, lakini ikiwa umetoka kwenye familia kama ya kina Moo na umesoma basi hapo utakuwa unashindana na Moo kibiashara.
 
Back
Top Bottom