Hivi lengo kuu la kusoma (elimu) ni kupata kuajiriwa?

Inategemea na hali ya uchumi wa familia.
Ikiwa mna mtaji kwenye familia kusoma kwako kutasaidia kuundeleza, ikiwa familia ni kapuku utakuwa bidhaa na utapewa na bei (mshahara) kwa kumfaidisha mwenye mtaji.

Hahaha
Kwani ukianzisha biashara ya Genge, Humfaidishi tajiri Moo na Kampuni yake?

Huwezi kula kama Uliwi, Take it or leave it.
 
Umenichekesha hiyo sentensi yako ya mwisho. Nikakumbuka enzi hizo nipo jobless kitaa nilikua nawaandakia madogo wa chuo field report then wananilipa. Elimu ya bongo janja janja sana.
 
Lengo la wagonjwa kutakiwa kwenda hospital kutibiwa na madaktari au kupewa dawa ni kupona ila sio wagonjwa wote wanaoenda kutibiwa hospital au wanaopewa dawa huwa wanapona, wengine huwa wanakufa kabisa, sasa ukiuumwa uamuzi ni wako kusuka au konyoa.
🔥💪
 
Inategemea na hali ya uchumi wa familia.
Ikiwa mna mtaji kwenye familia kusoma kwako kutasaidia kuundeleza, ikiwa familia ni kapuku utakuwa bidhaa na utapewa na bei (mshahara) kwa kumfaidisha mwenye mtaji.
🤔
 
Hahaha
Kwani ukianzisha biashara ya Genge, Humfaidishi tajiri Moo na Kampuni yake?

Huwezi kula kama Uliwi, Take it or leave it.
Ikiwa familia inamiliki genge na wewe umesoma ili uje kuendeleza genge ambalo unauza bidhaa za Moo lazima umfaidishe, lakini ikiwa umetoka kwenye familia kama ya kina Moo na umesoma basi hapo utakuwa unashindana na Moo kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…