secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #61
Watanzania wengi wakishamaliza vyuo wanaanza kulilia ajira kana kwamba walisoma ili waajiriwe.Asalimia kubwa ya watu wanasoma ilikupata ajira lakn siyo wote. Maana kunawatu wanaenda kutafuta maarifa ya namna kuendesha maliza za familia.
Lakn mm bado naona elimu ni utapeli tuu.
Sio lazima iwe Bongo, lakini hata Bongo Mange kaweza kuchuma pesa kwa kuuza umbea.Bongo hii hii au Nchi gani?
Umenichekesha hiyo sentensi yako ya mwisho. Nikakumbuka enzi hizo nipo jobless kitaa nilikua nawaandakia madogo wa chuo field report then wananilipa. Elimu ya bongo janja janja sana.
Sio lazima iwe Bongo, lakini hata Bongo Mange kaweza kuchuma pesa kwa kuuza umbea.
Ni wewe huwezi kununuaNdo bidhaa zinazo uzika hizo.
Elimu hapana.
Ni wewe huwezi kununua
Hujawahi kuwa na mwalimu mzuri kutoka Tanzania? Mtafute mmoja mtengeneze content.Mm ni mteja sana, wa content kutoka Mataifa ya Nje. Ila bongo hyo sector bado