Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

Makamu wa Rais lazima awe kiongozi aliyekomaa kimadaraka siyo kuokoteza watu kisa jinsia au ukanda anaposhika madaraka makubwa ndipo anapoanza kupuyanga puyanga asijue nini la kufanya, sijawahi kusikia sera za Rais kuhusu uchumi zaidi ya kuhangaika kutafuta madaraka mengine wakati bado yupo madarakani.
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Kumuenzi hayati Baba wa Taifa Mwl.JK Nyerere ni pamoja na kuwakusanya wananchi na waTanzania wazalendo pamoja kwa amani, utulivu na upendo mkisemezana mambo ya maendeleo...

Na hiyo ni tunu muhimu sana aliyotuachia baba wa Taifa ambayo Dr.Samia Suluhu Hassan anatekeleza kwa vitendo, anasambaza upendo kwa kuwapelekea waTanzania maendeleo ya kisiasa kijamii na kiuchmi mpka huko walipo....

Na ndio maana Dr.Samia Suluhu Hassan alipo basi na mamilioni ya waTanzania ndipo walipo kama uonavyo kanda ya ziwa mafuriko ya wananchi wakishow love 🐒
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Wanaokutukuza na kukusifu sana leo ndio haohao watakaokubeza na kukusuta kesho..!
Ogopa sana wapambe.. Nyerere nakupenda kabisa huu upuuzi
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
CCM na Samia wanatapatapa sana, kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza 😂
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Kusema kweli rais amezidiwa NGUVU na wapambe na hawamshauri vema.. Hofu ya kushindwa uchaguzi ndio unaleta ujingaujinga Wote huu
 
Back
Top Bottom