Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

Mwl JK Nyerere anawaona huko alipo wanapotumia jina lake kwa danganya Toto.
 
Nyerere baba yetu tunakufahamu
Karume ndugu yetu tunakushukuru

Ni maneno niliyosikia yakiimbwa na watoto wa halaiki. Hivyo Nyerere pia tulimkumbuka siku ya leo🤪🤪
 
Nilitamani angesimama jukwaani na kusema kuwa sitaki mnipake mafuta kwa mgongo wa chupa acheni kunisifia
 
Back
Top Bottom