Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Upuuzi tu
Sijui nani aliwaroga CCM....kodi zetu zinahezewa kipumbavu sana....Mambo ya ovyooo sana,akuna kinachoongelewa cha nyerere ni samia tu,pesa zetu zinapotea bure kabsa
Hovyo kupita maelezo....Rais wa hovyo kutokea tangu tupate uhuru
Wapo bize na kampeni badala ya kilichopo mbele yao,mama anatajwa mara mia nyerere ziro,hii ni samia daySijui nani aliwaroga CCM....kodi zetu zinahezewa kipumbavu sana....
ndo maana marekani hawataki huo ujinga na upuuzi, hayo mambo yamebakia tu sisiemuMwanamke akipata madaraka makubwa ni mtu wa kijikweza sana
Kumuenzi hayati Baba wa Taifa Mwl.JK Nyerere ni pamoja na kuwakusanya wananchi na waTanzania wazalendo pamoja kwa amani, utulivu na upendo mkisemezana mambo ya maendeleo...Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Wanaokutukuza na kukusifu sana leo ndio haohao watakaokubeza na kukusuta kesho..!Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
CCM na Samia wanatapatapa sana, kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza 😂Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Kusema kweli rais amezidiwa NGUVU na wapambe na hawamshauri vema.. Hofu ya kushindwa uchaguzi ndio unaleta ujingaujinga Wote huuNaangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?