Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Wewe waache tu wamtukuze hadi kumuweka daraja la Mungu, madhara yake watayaona sson.
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Leo ni Nyerere Day.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Ni hovyo kabisa ni kampeni tupu
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Nyerere Day haiwezi kufanyika Mwanza badala ya Butiama, Hilo ni Tamasha la kumsifia Mama
 
Yote haya alaumiwe Maboyo kwa kujifanya kutetea katiba
 
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote.
Ni kweli wanamuenzi Nyerere au kumtukuza Samia?
Kuna shida kubwa.

Leo ni siku ya WANAFIKI kumuenzi Nyerere KINAFIKI.

Shughuli ya Leo Mwanza ni indirect ufunguzi wa KAMPENI ZA UCHAGUZI Kanda ya Ziwa.

Wanamsingizia Bure Nyerere eti wanamuenzi!!!!

πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Ila bahati nzuri anawaona,WANAVOVYUNJA UMOJA wa kitaifa, kuua watu, kuteka watu!!!

πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…