M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Oct 14, 2024 #41 Mwl JK Nyerere anawaona huko alipo wanapotumia jina lake kwa danganya Toto.
G Gulwa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 10,597 Reaction score 16,394 Oct 14, 2024 #42 Zimmermann said: Eti anajaribu na kuzungumza kisukuma kidogo....aibu najisikia mimi yani Click to expand... Tiliuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe ni mbwa koko
Zimmermann said: Eti anajaribu na kuzungumza kisukuma kidogo....aibu najisikia mimi yani Click to expand... Tiliuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe ni mbwa koko
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 399 Reaction score 992 Oct 14, 2024 #43 Nyerere baba yetu tunakufahamu Karume ndugu yetu tunakushukuru Ni maneno niliyosikia yakiimbwa na watoto wa halaiki. Hivyo Nyerere pia tulimkumbuka siku ya leo🤪🤪
Nyerere baba yetu tunakufahamu Karume ndugu yetu tunakushukuru Ni maneno niliyosikia yakiimbwa na watoto wa halaiki. Hivyo Nyerere pia tulimkumbuka siku ya leo🤪🤪
N nyampindi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2024 Posts 201 Reaction score 238 Oct 14, 2024 #44 Nilitamani angesimama jukwaani na kusema kuwa sitaki mnipake mafuta kwa mgongo wa chupa acheni kunisifia
Nilitamani angesimama jukwaani na kusema kuwa sitaki mnipake mafuta kwa mgongo wa chupa acheni kunisifia
N nyampindi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2024 Posts 201 Reaction score 238 Oct 14, 2024 #45 900 Itapendeza zaidi said: ndo maana marekani hawataki huo ujinga na upuuzi, hayo mambo yamebakia tu sisiemu Click to expand... Unafikiri marekani watavuka kwa KAMALA ? Watakuwa kama Tanzania tu kamala kawashika sana
900 Itapendeza zaidi said: ndo maana marekani hawataki huo ujinga na upuuzi, hayo mambo yamebakia tu sisiemu Click to expand... Unafikiri marekani watavuka kwa KAMALA ? Watakuwa kama Tanzania tu kamala kawashika sana