Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

acha kuchafua watu kwa kuwataja majina. Ukisema hao fahamu na wengine wapo wengi kwenye ile dini inayofungafunga na kufungua kwa kutangaza. Hakuna tofauti ujinga ni uleule tofauti ni masaa ya kufunga tu
Sasa wewe unamchafua vipi mtu kama pumbavu mwamposa kwenda kuua watu kwenye kukanyaga mafuta. Yule kajichafua mwenyewe shenzi zake, na serikali ilivyo dhaifu ikamwachia huru bila kumfungulia mashtaka
 
Mkuu usifananishe ibada tukufu ya swaumu ya ramadhani na huo upuuzi wa kuuza mali zote na kwenda kumkabidhi tapeli na si hapo tu pamoja na kushinda na njaa mpaka kufa, huu ni upuuzi kabisa usiofanana na funga hata kidogo, huko ni kushinda njaa au kujiua.
 
Unasemaje wewe?
Hao uliowataja wameamua nani? Au wapi uliona wametapeli Watu km huko Kenya?
Au wapi uliona wamewaamrisha Watu kufunga?
Au ndo umejisikia TU kuchafua majina ya Watu?
We mpuuzi kweli, na usipotubu , utashangaa sn!
HivI nyie wanawake malaya huyooooo mwamposa amewapa nn mbona akiguswa tu mnacharuka?
 
acha kuchafua watu kwa kuwataja majina. Ukisema hao fahamu na wengine wapo wengi kwenye ile dini inayofungafunga na kufungua kwa kutangaza. Hakuna tofauti ujinga ni uleule tofauti ni masaa ya kufunga tu
We msenge kweli, Gwajima cyo tapeli? Amechafuliwa wapi? C alituongopea mwenyeww kufufua wafu?
Mwamposa ana utofauti gani na huyo wa Kenya? C aliua watu pale moshi?
Mwakasege na yeye c ni tapeli tu, c ni juzi anasema ametoka mbinguni kupiga story na yesu? Shtuka acha kukaza fuvu matako wewe
 
Katika msako unaoendelea katika eneo la ekari 800 linalomilikiwa na "Mchungaji Feki" Paul Mackenzie, polisi wamemkamata Mchungaji mwenza anayejulikana kama "Zablon wa Yesu". akiwa anasoma Biblia akieleza yeye angelianza kufunga Juni 2023![emoji23]
 
Unasemaje wewe?
Hao uliowataja wameamua nani? Au wapi uliona wametapeli Watu km huko Kenya?
Au wapi uliona wamewaamrisha Watu kufunga?
Au ndo umejisikia TU kuchafua majina ya Watu?
We mpuuzi kweli, na usipotubu , utashangaa sn!
Sasa matusi ya Nini!? Mwenzako akinyolowe,wwe tia maji!!
 
Inawezekana pia kuna ka ushirikina hapo, maana ukiangalia scenario ya huyo dada alivyo chotwa ni fikirishi sana.

Yani badala ya kumshitaki mchungaji kwa kumfungisha mtoto mdogo mpaka kufa matokeo yake na yeye akaenda kufungishwa hadi kufa.
Alafu akamuachia barua Kali sana baba Mtoto wake! Yaani hii Dunia Ina Binaadamu wa ajabu sana ukitafakari kwa kina!!
 
Sasa wewe unamchafua vipi mtu kama pumbavu mwamposa kwenda kuua watu kwenye kukanyaga mafuta. Yule kajichafua mwenyewe shenzi zake, na serikali ilivyo dhaifu ikamwachia huru bila kumfungulia mashtaka
Serekali hakumuachia bure tu,bali ali compromise na system!!
 
Kanisa langu tunaanza mfungo wiki ijayo itatuchukua siku 40
 
kuwa mstarabu, we ndio msenge mwenyewe, hebu dadavua utapeli wake usilete matusi ya kilevi hapa
 
acha matusi k* wewe, unatakiwa upangue hoja, halafu ujenge hoja yako kusadifu hao unaowaona ni matapeli. Mi nimetoa ufafanuzi wa huduma zao, habari za utapeli wao unazijua wewe. Na wewe elezea hao ni matapeli kivipi? Unakupuka kama umepanuliwa kule. Acha matusi jenga hoja uungwe mkono au upingwe kwa hoja mpuuzi wewe
 
Toa maoni yako ila usitukane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…