Thaari
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 402
- 645
Nyie............Hatuli kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie............Hatuli kitu
Naenda kuwakutanisha na yesu hawa viumbe ila mimi kama kawaida ahsubuhi supuNyie............
Utachomwa vibaya wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Naenda kuwakutanisha na yesu hawa viumbe ila mimi kama kawaida ahsubuhi supu
Nina mashaka Hawa watu wameuwa bhan. Siyo kufaa
Hiyo hata sio dini, maana angekuwa anafuata maagizo ya dini sharti la kwanza ni kumtii mwanaume wake. Alienda huko kwa ruhusa ya nani?!Mwanamke kwenye dini ni zaidi ya kiazi mdau.....unajiburuzia unavyotaka
Bado sisi watanzania maana wamama wengi ni wanakunywa mafuta ya upako,mafuta yenyew hatujui yametoka wapi TFDA wapo na hawajaliona hili,TBS wapo wamekaa kimya na TRA wapo hawajaonankwamba kuna kodi yetu hapa kwa huyu mfanya biashara wa mafuta ya upako anaetumia jina la mtume/kanisa kukwepa kodi😀😀MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES:
Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni kirahisi.
Mwili wake ni kati ya miili 73 iliyofukuliwa katika zoezi la kiuchunguzi linaloendelea kwenye jimbo la Kilifi - Kanisa la Shakahola. Marafiki na ndugu za Betty wamepata mshtuko mkubwa sana.
Betty alikuwa mfanyakazi wa Shirika moja kuubwa la ndege duniani, ambaye aliamua kuacha kazi yake, akauza ardhi yake kwa Kshs 7,000,000 = Tzs 121,170,000 na kumkabidhi "Mchungaji Wakala wa Shetani" Paul Mackenzie wa Malindi - Kenya.
Betty alirejea Kenya kutoka ughaibuni baada ya mtoto wake aitwaye Jason kulazimishwa kufunga hali iliyopelekea mtoto huyo aage dunia. Wakati mtoto huyo wa Betty anafunga kula hadi kufariki, Betty alikuwa nchini Qatar. Mtoto wa Betty, Jason, alikuwa akiishi na babu na bibi yake wakati huo. Haijulikani ni nani alimfungisha mtoto huyo hadi kufa.
Baada ya kupokea taarifa za kifo cha mwanaye, inaelezwa Betty alifunga safari kutoka Qatar hadi Kenya kwa ajili ya mazishi ya mwanaye lakini akapotea na hakujulikana alipo tena.
Dada ya Betty anayeishi eneo la Umoja - Nairobi, anasema Betty aliacha barua ya hisia kali kwa Mume wake akionesha asingelirejea tena milele. Baada ya kuandika barua hiyo Betty aliondoka na wanaye kuelekea Malindi.
Inaonekana alifuta akaunti zake zote za mitandao ya kijamii, akauza vitu vyake vyote kabla ya kupanda Ndege kuelekea Malindi - Kenya.
Rafiki ya Betty anasema, Betty alimuaga akimjulisha kuwa anaenda kuonana ana kwa ana na Yesu siku ya tarehe 08 Aprili 2023 na kwamba alilazimika kuondoka tarehe 07 Aprili 2023. Rafiki ya Betty alipoifuatilia tiketi yake ya ndege akagundua ni tiketi ya moja kwa moja na siyo ya nenda rudi.
Katika msako unaoendelea katika eneo la ekari 800 linalomilikiwa na "Mchungaji Feki" Paul Mackenzie, polisi wamemkamata Mchungaji mwenza anayejulikana kama "Zablon wa Yesu". akiwa anasoma Biblia akieleza yeye angelianza kufunga Juni 2023!
Hata mimi nadhani iko ivo aiseee.Huyo mchungaji achunguzwe atakuwa anachukua hela zao waumin na kuwaua,haiingii akilin mtu auze kila kitu akampe mchungaji then afunge kula ili afe akamwone Yesu 🙏there is more to that story
Mama na baba yako wanatatuliwa malinda kwa sababu ya ujinga na upumbavu ambao na ww umeurithi.acha matusi k* wewe, unatakiwa upangue hoja, halafu ujenge hoja yako kusadifu hao unaowaona ni matapeli. Mi nimetoa ufafanuzi wa huduma zao, habari za utapeli wao unazijua wewe. Na wewe elezea hao ni matapeli kivipi? Unakupuka kama umepanuliwa kule. Acha matusi jenga hoja uungwe mkono au upingwe kwa hoja mpuuzi wewe
Pole sana,NIna hhsira hapa mpk najikuta nasonya tuu..
Why uue watt wasio na hatia?.kufa mwenyewe...sipati picha wtt walivyolia mpk machozi yakakauka...mama njaa,mama njaaa
😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭
Kuna kulogwa aisee..ndo maana mimi sipendi kusikiliza mahubiri na wahubiri uchwara eti unahubiriwa mara ushikwe mikono..mara paji la uso mara utemewe mate sisogeagi pande hizo...
Sina nguvu mkuu...labda utume ubber 😆 😆Pole sana,
Njoo PM ili tukapunguze hasira kwa kutembelea maeneo tulivu na kufaidi mema ya nchi.
😎
Wazichunguze hizo maiti pia. Isijekuwa mchungaji alivuna viungo vya waumini wake akasingizia walifunga, mwisho wa siku mchungaji akawa amepiga pesa ndefuMAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES: