Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Wasiishie kwenye madhehebu hadi kwa waganga, Hakuna kusajiliwa uganga kama huna degree, maana wote ni wale wale madhara yao makubwa kwenye jamiiUmefika wakati Sasa wa kuyachunguza haya madhehebu lukuki hasa haya ya kiprotestant, mengi ni ya matapeli tu.
Tuige mfano wa Rwanda kwamba ili uwe mchungaji ni lazima uwe na shahada.View attachment 2600172
we si mzima kichwani, sasa unataka ligi ya matusi nini? Kuwa na adabu mfia dini uliyechanganyikiwa. Pumbavu, unajuaje kama nina wazazi shetani mkubwa weMama na baba yako wanatatuliwa malinda kwa sababu ya ujinga na upumbavu ambao na ww umeurithi.
Kuwa na akili hata za kuvukia barabara usije kujikuta na ww unaanza kufirw@ na kina gwajima wafufua watu, Mwamposa muua watu mfuasi wa shetani
tena waganga ndio wabaya zaidi, wanawafanya vibaya wateja wake mambo ya ajabu sana. Shida na kukosa maarifa hutumbukiza watu hatariniWasiishie kwenye madhehebu hadi kwa waganga, Hakuna kusajiliwa uganga kama huna degree, maana wote ni wale wale madhara yao makubwa kwenye jamii
we jamaa zinakutosha kweli? Jamaa yako anatukana matusi we una like.Kua na elimu na kuelimika ni vitu tofauti,
Unaweza kua na elimu ila ukawa haujaelimika,yani elimu imeshindwa kukukomboa kifikra.
Hawa mawakala wa shetani huwa hawafiMchungaji yeye hajafa tu bado? Anasema watu wafe waende kwa Yesu sasa hio mali yeye ya nini?.
Kwani wanatofauti gani, kwani hawakuua watu Moshi,awaambii watu watoe sadaka za kujimaliza kama sio wizi ni nini,wapi pana fundisho la kutoa sadaka Ili uumie kwenye maandiko.Unasemaje wewe?
Hao uliowataja wameamua nani? Au wapi uliona wametapeli Watu km huko Kenya?
Au wapi uliona wamewaamrisha Watu kufunga?
Au ndo umejisikia TU kuchafua majina ya Watu?
We mpuuzi kweli, na usipotubu , utashangaa sn!
Kumbe!!!Serekali hakumuachia bure tu,bali ali compromise na system!!
We choko acha kujilengesha,unataka kunipangia maisha kiazi wewe? Huoni aibu kumfuatitilia kidume mpaka comment anazo like? Wewe ni kituko cha JF na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,ndio maana unapigwa spana humu kwa comment zako zilizojaa matapishi,hivi hujajishtukia tu bado?we jamaa zinakutosha kweli? Jamaa yako anatukana matusi we una like.
napigwa spana na nani k* wewe? Mpuuzi fulani hivi uliomo humu. Mi huwa napenda kuwachezea akili wapuuzi wenzako kama wewe, mimi ndio nawapiga spana na wingi wenu mpaka mnakosa cha kujibu mnakimbilia matusi. Kwa ligi ya matusi nako nakutoa rindaWe choko acha kujilengesha,unataka kunipangia maisha kiazi wewe? Huoni aibu kumfuatitilia kidume mpaka comment anazo like? Wewe ni kituko cha JF na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,ndio maana unapigwa spana humu kwa comment zako zilizojaa matapishi,hivi hujajishtukia tu bado?
Unionapo humu acha kun quote huna hoja usitake kuanzisha ligi ya matusi huko nako hutaniweza nimekamilika idara zote huna uwezo wa kunibandua kwenye hoja yoyote mbuzi jike weweWe choko acha kujilengesha,unataka kunipangia maisha kiazi wewe? Huoni aibu kumfuatitilia kidume mpaka comment anazo like? Wewe ni kituko cha JF na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,ndio maana unapigwa spana humu kwa comment zako zilizojaa matapishi,hivi hujajishtukia tu bado?
Wewe utakua sio timamu aisee,sasa huoni kua wewe ndio uliyeanza kuniquote hapa kwenye hii thd?Unionapo humu acha kun quote huna hoja usitake kuanzisha ligi ya matusi huko nako hutaniweza nimekamilika idara zote huna uwezo wa kunibandua kwenye hoja yoyote mbuzi jike wewe
Rudi Milembe bado hujapona.napigwa spana na nani k* wewe? Mpuuzi fulani hivi uliomo humu. Mi huwa napenda kuwachezea akili wapuuzi wenzako kama wewe, mimi ndio nawapiga spana na wingi wenu mpaka mnakosa cha kujibu mnakimbilia matusi. Kwa ligi ya matusi nako nakutoa rinda