Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

We choko acha kujilengesha,unataka kunipangia maisha kiazi wewe? Huoni aibu kumfuatitilia kidume mpaka comment anazo like? Wewe ni kituko cha JF na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,ndio maana unapigwa spana humu kwa comment zako zilizojaa matapishi,hivi hujajishtukia tu bado?
nawakimbiza wote we na hao wapuuzi wenzako mpaka mnachoka na kuishiwa pumzi mnakosa hoja mnaanza kutukana. Popote mkiibuka na hoja za kipuuzi niko na nyinyi, badilishe id nisiwatambue, ila kwa mlivyo wajinga nitawatambua tu na kuwapa nakoz za uso. Hamjui kujenga washenzi wakubwa nyie
 
nawakimbiza wote we na hao wapuuzi wenzako mpaka mnachoka na kuishiwa pumzi mnakosa hoja mnaanza kutukana. Popote mkiibuka na hoja za kipuuzi niko na nyinyi, badilishe id nisiwatambue, ila kwa mlivyo wajinga nitawatambua tu na kuwapa nakoz za uso. Hamjui kujenga washenzi wakubwa nyie
Huna akili wewe na wengi wamesha kutambua hivyo.
 
Miongoni mwa waumini wa kanisa la mchungaji Paul Makenzie wa nchini Kenya 🇰🇪 waliookolewa walipokuwa porini kwenye maombi ya kufunga ili kuonana na Yesu.

Ila pamoja na kuokolewa bado hawataki kula, wameshikilia msimamo wao wa kuendelea kufunga mpaka kufa ili wakakutane Yesu.

Hadi sasa waliokutwa wamezikwa baada ya kufariki wamefika watu 79 ambao tayari miili yao imefukuliwa na zoezi la uokozi bado linaendelea.
 

Attachments

  • IMG-20230426-WA0002.jpg
    IMG-20230426-WA0002.jpg
    58.8 KB · Views: 2
  • CamScanner 04-26-2023 16.12_1.jpg
    CamScanner 04-26-2023 16.12_1.jpg
    67.6 KB · Views: 2
Mackenzie anatofauti gani na hawa wabongo eti toa sadaka ya kujimaliza sijui kujiteketeza yeye anajengea hotel wewe unarudi mbagala kwa miguu,
Sadaka ya kujimaliza ni wizi wa kisaikolojia Hakuna fundisho hilo kwenye maandiko. Utoi sadaka Ili uumie. Huo ni wizi.
Mamlaka zetu zijifunze Somo Kwa yaliyotokea Kenya na kuanza kuchuja makanisa yanayoendesha utapeli kabla madhara makubwa hayajalipata taifa. Kinga ni Bora kuliko tiba.
 
Mwanamke kwenye dini ni zaidi ya kiazi mdau.....unajiburuzia unavyotaka
Hao waliokufa wote ni wanawake!?
Tuwapige malimbwata tuu mfe mapema mtuache tukijivinjari

Sio mwanamke tu, mtu mwenye imani ya kijinga ni mtu hatari sana

Kujiita mkristo au muislamu ili mtu atimize uhalifu sio shida ya dini au imani. No shida ya mhalifu

Mathayo 24:24
Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.
 
MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES:

Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni kirahisi.

Mwili wake ni kati ya miili 73 iliyofukuliwa katika zoezi la kiuchunguzi linaloendelea kwenye jimbo la Kilifi - Kanisa la Shakahola. Marafiki na ndugu za Betty wamepata mshtuko mkubwa sana.

Betty alikuwa mfanyakazi wa Shirika moja kuubwa la ndege duniani, ambaye aliamua kuacha kazi yake, akauza ardhi yake kwa Kshs 7,000,000 = Tzs 121,170,000 na kumkabidhi "Mchungaji Wakala wa Shetani" Paul Mackenzie wa Malindi - Kenya.

Betty alirejea Kenya kutoka ughaibuni baada ya mtoto wake aitwaye Jason kulazimishwa kufunga hali iliyopelekea mtoto huyo aage dunia. Wakati mtoto huyo wa Betty anafunga kula hadi kufariki, Betty alikuwa nchini Qatar. Mtoto wa Betty, Jason, alikuwa akiishi na babu na bibi yake wakati huo. Haijulikani ni nani alimfungisha mtoto huyo hadi kufa.

Baada ya kupokea taarifa za kifo cha mwanaye, inaelezwa Betty alifunga safari kutoka Qatar hadi Kenya kwa ajili ya mazishi ya mwanaye lakini akapotea na hakujulikana alipo tena.

Dada ya Betty anayeishi eneo la Umoja - Nairobi, anasema Betty aliacha barua ya hisia kali kwa Mume wake akionesha asingelirejea tena milele. Baada ya kuandika barua hiyo Betty aliondoka na wanaye kuelekea Malindi.

Inaonekana alifuta akaunti zake zote za mitandao ya kijamii, akauza vitu vyake vyote kabla ya kupanda Ndege kuelekea Malindi - Kenya.

Rafiki ya Betty anasema, Betty alimuaga akimjulisha kuwa anaenda kuonana ana kwa ana na Yesu siku ya tarehe 08 Aprili 2023 na kwamba alilazimika kuondoka tarehe 07 Aprili 2023. Rafiki ya Betty alipoifuatilia tiketi yake ya ndege akagundua ni tiketi ya moja kwa moja na siyo ya nenda rudi.

Katika msako unaoendelea katika eneo la ekari 800 linalomilikiwa na "Mchungaji Feki" Paul Mackenzie, polisi wamemkamata Mchungaji mwenza anayejulikana kama "Zablon wa Yesu". akiwa anasoma Biblia akieleza yeye angelianza kufunga Juni 2023!
Hao wachungaj wala wasihukumiwe jela, waamrishwe na wao wafunge had kufa, ukiuwa kwa upanga nawe uuawe kwa upanga
 
Yaliyojiri hivi punde kutoka Shule ya Msingi ya Mkerezage, katika wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani

Mwalimu:
Taja madini yayopatikana nchini Tanzania na kutuletea fedha za kigeni katika pato la taifa
Mwanafunzi:
Makiristo, Maislamu, Masabato, Malokole, Maupako, na Mamposa
Mwalimu:
Umetisha kijana !
 
Wewe choko huwezi kuelewa vitu vinavyohitaji akili,endelea kusugua kalio kwenye kochi hapo kwa shemeji yako huku ukisubiri ugali wa shikamoo,

Halafu nilisha kwambia acha kujilengesha,mimi sina time na machoko kama wewe.
 
Wewe choko huwezi kuelewa vitu vinavyohitaji akili,endelea kusugua kalio kwenye kochi hapo kwa shemeji yako huku ukisubiri ugali wa shikamoo,

Halafu nilisha kwambia acha kujilengesha,mimi sina time na machoko kama wewe.
umekazana choko, choko, ndio nini, hiyo ni tabia yako. Ndio maana ulialia id yako kuigwa. Ngoja wakuige tena ili ushike adabu
 
Unasemaje wewe?
Hao uliowataja wameamua nani? Au wapi uliona wametapeli Watu km huko Kenya?
Au wapi uliona wamewaamrisha Watu kufunga?
Au ndo umejisikia TU kuchafua majina ya Watu?
We mpuuzi kweli, na usipotubu , utashangaa sn!
Wewe ni mmojawapo wa waumini wa hao wachungaji walio tajwa

Huyo mwamposa ana ibada za kukanyaga mafuta ya upako aliua watu Moshi Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom