...lol....naona nawe ni mmoja wapo...
...ni hulka ya wanawake wengi kuingia mitini maji ya shingo, lakini kwa Lizzy na FaizaFoxy What you give is what you get.
Hii inawasumbua wanaume ambao bado hujivutia na mfumo dume, they want to hate but fail miserably with admiration on how these women can stand their ground!
Heheehe. . . .
Ahsante Mbu.
Hilo bichwa litapasuka sasa!
hivi ni nani aliimba ule wimbo wa wivu sina ila roho inauma?
Unataka kumdediketia nani?
Hata sikumbuki. . .nimeuliza tu
afu nenda love connect ukaone HC anavyolalamika
sijui Michelle yuko wapi akampoze japo kwa kimstari kimoja
Hujambo?
Kha kwahiyo we wivu huna ila roho inakuuma tu kwasababu sio wewe?
Umeanzia wapi, saa ngapi na kwanini?Nimeanza kukumic...
mi mwenyewe lizzy namzimikia kinyama. Mia