Yaani hii sredi bado inaendelea?
Kihirizi cha Lizzy kweli kiboko!
Heheheeh. . .inabidi nimpe zawadi aliyekanipa.
Za jioni mimi napita tu.
Anastahili tuzo kabisa.
Mtoto mashallah, kupendwa jadi yake!!
hakuna njia, rudi huko huko!
wapi mamaa lizzy mtoto utadhani kashushwa, mtoto kafungasha utadhani utadhani haendi......, sio siri Mungu akupe nini mtoto, uzuri wako umewafanya wanaume wajf wakutungie uzi, ningekuwa mimi ningehonga hata meli ikiwezekana twende tukaishi mwezini
Dah Lizzy kama ni hivi nikiwa mumeo si ntakufa kwa presha!
Kakondoo. . . Mama mchungaji kawa mtoto mashallah toka lini?
Hahahaha. . . nidai zawadi.
Hahahahaaha. . . .
Basi kama mwezini huwezi tukaishi Mwana Nyamala.
mama mchungaji cheo tu, watu wanajump jump ka kitenesi! Hahahah wape ziara uone ka hawajajisuper glue....lolzz!!! Alafu we usiniahidi tena zawadi.......sidanganyikiii!!!
Mama hadhi yako sio ya kuishi mwananyamala hata kidogo kuna sehemu special ambayo nitaiandaa mama maana haifai ukaishi sehemu yenye makelele na fujo
Hahahahaaha. . . .
Basi kama mwezini huwezi tukaishi Mwana Nyamala.
sasa naona we Lizzy umepitiliza kupendwa kwani hata wanawake wanakukubali!basi nami niongeze kwenye orodha yako.
haloo haloo.....na mtaa nawachagulia kabisa, kwa mama zakaria patawafaa!!
Yaani hii sredi bado inaendelea?
Kihirizi cha Lizzy kweli kiboko!