Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Hahahha. . . wakijisuper glue nawabandua.
Kakondoo kua na dogo basiii. . . .zawadi imechelewa ila inakuja.
Shauri lako, nipeleke kwenye raha alafu siku ukiishiwa nikukimbie.
Karibu sana Mwalimu.
Ahsante.
Labda tujue bibi yake katokea wapi
asije kuwa ni wa Gamboshi
Nawamwagia maji ya moto. . . watajitoa wenyewe.hahahaa mpaka uje ukawabandue nadhani ni kaprocess pia! Aliekwambia mi nna dogo nani? Utakoma kuniahidi na zawadi yangu kubwa ni moja tu japo najua hata nikigalagala sitoipata!!
Mama usiwe na wasi kwa ajili yako nitapigana kiume
Nashukuru sana,nakaribia mzima mzima,kazi ni kwako.
Hirizi hiyo kiboko
Hahahaha. . . mwenyewe kakataa. Hataki nipate shida.
Nawamwagia maji ya moto. . . watajitoa wenyewe.
Hahaha. . . tulia bana kakondoo. Just give me time. . Hiyo zawadi mbona utaichoka mwenyewe.
Najiamini sana but tabu ni siwezi kuusemea moyo wako
Nna wasiwasi na wewe
Hahaahha. .Nimeona mwenyewe ana wasiwasi, hataki ukanyage vumbi usije haribu gradieta zako buree!! Heheh ukipelekwa hiyo sehemu special naomba lift walau ntakuwa nakuchana hata kope!!
Hehehehe. . . .hapa bado bado muda. Ngoja niweke mambo sawa.mbona hapa hujawamwagia hadi wamegongana?? Hahahah mie zawadi yangu ni moja tu wala haihitaji muda coz najua iko available muda mrefu ila tu umeamua kunibania!!!
Ili sredi ife tutahitaji Paw's intervention lol.