Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Ili sredi ife tutahitaji Paw's intervention lol.
Hhhmm. . . ukipigwa je?
Mama siraha zipo nyingi zakupigania naamini za kwangu ni mwisho wa reli
Hahahahaaha. . . .
Basi kama mwezini huwezi tukaishi Mwana Nyamala.
Kwani kuwa carried away na sifa ni tatizo? Mwanamke kuvimba bichwa.Wao kukusifia sio tatizo kwangu but are u gonna be carried away by hizo sifa?
Ukinikubali tutaishi wote mabwepande.
Hahaahha. .
We kakondoo hujatulia kabisa. Haya ntakuchukua uwe unanisomea na kunijibia post na PM.
Nashukuru sana mama mchungaji, ngoja nimtaarifu invisible asijefuta hapa!!
Hehehehe. . . .hapa bado bado muda. Ngoja niweke mambo sawa.
Zawadi inakuja kakondoo. . . .ondoa shaka.
Ukinikubali tutaishi wote mabwepande.
Ndo wapi huko?
Neyo masangu ga ndulu na mabere
Haya bana, ila nawe uwe unawadondokea kwa majina japo mara moja moja sio kusema 'gentleman' tu......lolzz!!! Poa bana nasubiri niongezeke uzito aje kupiga show(hio ndo zawadi kubwa)!!
Bichwa uvimbe tu as long as u remain mine
Makazi mapya ya wahanga wa mafuriko. Will you marry me please?
Thats private yaani kwenye gari hata mgonjwa hapewi lift
heeh...... umetisha!! Hivi wakuruta washamaliza kupasafisha?