Hahahahah. . . . . keep on crushing.Lizzy, ndo nakutongoza hivi.
Am crushing like jaw crusher for you, and only you.
Unatakiwa sie tusojua kutongoza uende na swaga zetu.
Ukitukaripia tunaogopa.
Asiyekubali kushindwa NDIE MSHINDI.
Unapenda mwanaume mwenye muonekano gani? Usikute nahangaika bure tokea jana silali wala sifanyi kazi kumbe mwenzangu hujawahi kufikiria kuishi na kijeba maishani mwako.
Ohhhh basi karibu sana.
@ Jr. . . Nitty. . . Sumu naona maneno mengi tu, embu fanyeni kweli nichague mshindi bana.
Nimerudi sasa lizzy wangu yuko wapi mbona simuoni, nitaua mtu leo ngoja niende kwa Sumu au atakuwa kwa Musimo jr
I cnt compete over my wife, cwezi tena na hivi vitoto?
Mama napenda unavyoniita yaani mpaka raha
Who asked for advice?Mbona kama watu wanatongozana?mtu kaanzisha thread watu wagive out their maadivais lizzy na .....(4get th name) ndio mkaanza kutia manjonjo yenu.kila nikisoma coment sioni jipya.made me sick indeed!
Hahahaha. . . Cute ehhhh?
Ebu muite tena!
I nevre fight with words kama wanawake wa uswahilini, i do actions to my woman
We mpambe kweli yaani!
Mama nisipitwe huyoooooo. . .