Nakupa kile kitu kisichoweza shikwa kwa mkono.......i give you my heart!
Hahahahaaa u r wrong there, we ndo umechuz the wrong side na si unajua itakuwa aibu yenu wote eeh?
@Kakondoo. . . .hahahahaha. . . we hujatulia wewe. No wonder sherehe na maugomvi yote mtaani yanakuhusu.
Nitulie kwani mi maji ya mtungi? Hahah Sherehe sihudhurii ila kwenye ugomvi hunikosi labda niumwe.....lol!!!
Ntaanza kukuweka 'under house arrest'. . . utajashuhuliwa na kusutwa huko ndo utakoma.
Khaaa. . . ndo ushakua sugu hivyo? Basi wewe sio kakondoo tena ni jikondoo. .. Lolzzz.Nilishasutwa mpaka wasutaji wakachoka.....sa ivi mi ndo captain wao!! Hahahahh hayo yote yatawezekana iwapo 'vigodoro' vitapigwa stop manake hii ndo show babkubwa huku mtaani kwetu!!
Haya nambie we wataka nikupe nini?
Bado unafikiria tu Malkia?
Khaaa. . . ndo ushakua sugu hivyo? Basi wewe sio kakondoo tena ni jikondoo. .. Lolzzz.
Tafadhali mama mchungaji nirudishie hadhi yangu ya kakondoo, hayo nayafanya nje ya kanisa tu!! Tusihukumiane jamani ni mfumo tu wa maisha na mazingira tunayoishi!!! Lol
Yaani Bahamas karibu hapa!? Kwanini tusiende Hawaii for a one month honeymoon? Ndoa naenda kuandikisha kesho next sunday inaanza kutangazwa wala usijali
Nina mama Gaude wangu already...Lizy ni kchwa na naamini sifa yangu haiwezi kumpoka uwezo wake kifikra...Back to mleta hoja ni kwamba tunampena Lizzy kwa kua ni Jembe,anajua kuanzisha,kutawala hoja (hata ambayo hakuanzisha) anadefend point,anatoa changamoto na ushindi wake si wa penalt...napenda kichwa chake!...
Ahhh kumbe ulienda kupata hewa safi kidogo.Karibu tena kwenye fujo za mjini.Mkuu Lizzy,Nilitoka mjini kidogo na km ujuavyo vijiji vyetu vya ujamaa...umeme,network vyote ni misamiati...Nashukuru Mungu nimerudi salama...salamu nyingi toka kijijini!
Haya mamy then easter tunaenda Bermudas