Nimesha mtongoza.. ...
Basel, Venice or Geneva?
Yaani hii sredi bado inaendelea tu? Wee Lizzy hebu kivue haraka hicho kihirizi chako bana khaaa....
Iweje attention upate wewe tu na mademu wengine wa JF wasipate?
Sivui ng'oo. . . mpaka niwakamate wote.
Ulafi wa fisi huo
naomba niwe bestman jamani...@Lizzy and Musimo Jr
Wivu huo!!
Hatutaki wapambe. . .
Wivu ndo nini?
haitanoga basi au hamtajaza watu na kula mapochopocho?
Wote mtakua waalikwa bila kuwa wapambe.
nia ni nini,kwa nini,mnakwepa nini...
Hatutaki kuiga mambo tusiyopenda.