Ulipotelea wapi? nilivo kuona ilibidi nirudi nyuma kwanza nikakugongee like kuleeee umeiona?mwali! mi we hakunaga....
Hahahah. . . thanks Steve.
So are you happy with your served platter?Just curious. . . .
Kumbe na we mwenyewe umo? sasa unauliza nini tena?I like the sturbon part.......i gues you forgot the naughty.......Lol!
You did? are you a Gentle-woman?Nimesha mtongoza.. ...
Ulipotelea wapi? nilivo kuona ilibidi nirudi nyuma kwanza nikakugongee like kuleeee umeiona?
Is it? sasa mbona hukunianzishia uzi chit chat?nimekusoma mamaangu.....nimekumiso!
Mkuu hizi ndio sredi za kupaishana kiaina, uzi unakwenda page yangapi sijui lakini wachangiaji hadi sasa ni wale wale hawafiki hata 8.Hmmmm hii thread inapepea kama kishada
I like the sturbon part.......i gues you forgot the naughty.......Lol!
Hahahaha . . . Mbona siku zote hukuniambia DA?Ni mzuri na mumuache Lizy wangu mweeh
Hhhmmm....hii ni ya kiasili zaidi, nilipewa zamani wakati bado tunakimbiza magari.LolzHahahahaaa we mtoto wa kike wewe umeipata wapi wakati kule kwenu kushakuwa mjini siku hizi!?
Is it? sasa mbona hukunianzishia uzi chit chat?
Kwa hiyo mpango mzima wa thread ni nini? kugundua nani yupo in competition ama?Mi si nilishamwambia jamaniiiiiiii.............