Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Dah sa hao ng'ombe watakaa wapi na kule wanataka wale wa kichina tu na si huku tuna wale wa asili? Kighorofa haina tabu na hata kahawa tutalima sana tu ntakupandia na mti wa mwembe ili usiwe unaenda kuiba kwenye mti uleeeeee.......
 
Hahahaha. . . Jr jamani. Kwahiyo hutaki kuulizwa "baba tule nini leo?" !!!???

MJ1 is right though. . . .hata YES MAN nae anaboa.
Napenda sana kuulizwa lakini kwenye nyakati ROMANTIC na niulizwe kwa namna hiyo......lakini sio ile kuulizwa kwasababu she daznt believe herself kwamba whatever she cooks mi ntakipenda
"Tule mchemsho wa kuku na ugali, na tushushie kwa mbege mama" Lol!
 
Dah sa hao ng'ombe watakaa wapi na kule wanataka wale wa kichina tu na si huku tuna wale wa asili? Kighorofa haina tabu na hata kahawa tutalima sana tu ntakupandia na mti wa mwembe ili usiwe unaenda kuiba kwenye mti uleeeeee.......
We sehemu ya kuwaweka haikuhusu maana sio wako hao. . . hayo ni malipo na ukishatoa umetoa. Sema utaruhusiwa kunywa maziwa mpaka ukinahi. . . lolz

Mwembe kitu gani wewe? Tuna mpaka miwa na miparachichi, mipapai na michungwa, mizabibu na ndizi tena zinaivia huko huko mgombani, elimu na malimao, mapera na masimba (jina la kiswahili sikumbuki), na mafenesi nikitaka naenda kwa jirani tu.


Enheee. . . .
Sasa kama haamini mapishi anayajua afanyeje dada wa watu?
 
Mwenyenzi Mungu awachukie kimya kimya. . . Amen.

Shikamoo babu. . . ni matumaini yangu kua umepona au umepata hata kanafuu.
Ongeza maombi dadangu mpendwa. Mungu yu mwema!
 
Me napenda komenti zake cyo cri i wish nimuone akiniruhucu
 
Lol ndo mda wa Lizzy kutoka huu...
So tutasikia mengi tu
 
Umenifurahisha Musimo Jr... Wee kakupa nini? lol.... Ndo ujue kua haiepukiki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…