KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Hapo kwenye bold sina uhakika napo sana ingawa najua kongosho is something elseKutokana na misimamo ya Lizy, wakati mwingine nahic Lizy=Salama J. Pili, hakuna mwanaume wa JF anayeweza kufurukuta kwa Lizy huwa wanajichekelesha wakiamini 1 day YES, Mungu si Kakajambazi, we cheki trend ya uzi,, strange enough, Lizy huwa hajiwezi wala hapumui mbele ya Kongosho. Am sorry Lizy. U knw i lv u.
Hahahahaaa ndo kanambia ana kahirizi ka kifamilia na kasema naweza kukapata kama nami ntakuwa wa familia ya kwao tabu masharti magumu..........eti mpaka nijenge kaghorofa kule mikahawani!Umenifurahisha Musimo Jr... Wee kakupa nini? lol.... Ndo ujue kua haiepukiki....
Haaaa hiyo ya kwenda kwa jirani ndo siitaki sasa ndo maana nakwambia tunapanda yote kwetuWe sehemu ya kuwaweka haikuhusu maana sio wako hao. . . hayo ni malipo na ukishatoa umetoa. Sema utaruhusiwa kunywa maziwa mpaka ukinahi. . . lolz
Mwembe kitu gani wewe? Tuna mpaka miwa na miparachichi, mipapai na michungwa, mizabibu na ndizi tena zinaivia huko huko mgombani, elimu na malimao, mapera na masimba (jina la kiswahili sikumbuki), na mafenesi nikitaka naenda kwa jirani tu.
Enheee. . . .
Sasa kama haamini mapishi anayajua afanyeje dada wa watu?
Teh Teh Teh..............m reserving something for u
hakunaga kama mamkwe
Lizzy,just kajiswali,umeolewa?Haswaa dada yangu na ndo somo ambalo wanawake wengi tunalimiscalculate kwenye mahusiano. Wengi wetu tunaamini kuwa being a YES pesrson, an obedient woman ndo silaha ya kumfanya your man astick kwako kumbe lah!! Mwanaume anapenda mcharuko kwa maana ya kuwa mwanamke mwenye principles, a non-nonsense woman. You love me, I love you, you despise me, I despise you period. That is what Lizzy is.
Lizzy,just kajiswali,umeolewa?
za siku Mkuu?Haya kaeni kimya tuwaombee wagonjwa...
I know kiswahili changu sio kizuri sana but so do you i gues................hivi kijana huwa anaozwa pia?
Umenifurahisha Musimo Jr... Wee kakupa nini? lol.... Ndo ujue kua haiepukiki....